Millard Ayo kanyooka, kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa

Millard Ayo kanyooka, kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa

Ameonesha matokeo yote kwa ujumla na sio kwamba alibase kwa Diamond tu.
Ila anachonikera huyu jamaa ni kupendelea ccm.
alipost show ya Diamond specifically na kichwa cha habari amemtaja Diamond. Sasa utasemaje ameonyesha kwa ujumla???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amebanaaaaa weeeee mwishoni kaachia.

Kachoka masikini ya Mungu kupishana na fuko la hela maana kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa za bure maana kila habari inayomuhusu Diamond ni pesa tosha.

Ninaona leo anapost habari za Diamond kwa fujoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijui wale vidagaa wengine sura zao wataweka wapi maana Millard ndiye aliyekuwa jeuri kushinda wote.
Una umri gani bro?
 
millard ayo anafanya biashara,shida ni nyinyi wadananda hapo wcb sasa.

wengine wanagombea ubunge wakati huo wakiitwa boss.
 
Hakuna aliyelalamika ila mtoa mada katoa taarifa tu kwamba Millard karudia matapishi yake, kaanza kumpost Simba.
Usimpost wala kumwongelea Diamond utampost msanii yupi sasa kizazi hiki?
Labda Deal Done ndio maana kaanza kumpost,kwani wakati hampost hapo mwanzo aliishiwa watu wa kupost?
 
Back
Top Bottom