Millard Ayo kanyooka, kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa

Sasa kati ya Diamond na Millard nani anahitaji promo ya mwenzie?
 
Millard ayo
kweli mzee, Millard ni kama kashafika kwenye climax ya wafuatiliaji kutoka Tanzania ndo maana kiasi cha wafuatiliaji wake kama vile subscribers wanapanda taratibu.
Kuna kipindi alikuwa anakimbizana na Diamond kwa ukaribu sana ila kwa sasa amepigwa gape kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…