Millard Ayo kanyooka, kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa

sasa atanunua nani???? yeye analeta habari walaji wakiwa wengi si ndio anapata dili mbalimbali kama matangazo ambayo ndo yanamuingizia pesa.
Habari zipo nyingi sio mpaka za domondi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…