Millard Ayo kanyooka, kutomzungumzia Diamond Platnumz ni kujipotezea pesa

Ameonesha matokeo yote kwa ujumla na sio kwamba alibase kwa Diamond tu.
Ila anachonikera huyu jamaa ni kupendelea ccm.
alipost show ya Diamond specifically na kichwa cha habari amemtaja Diamond. Sasa utasemaje ameonyesha kwa ujumla???
 
Una umri gani bro?
 
Sio ajabu Ayo kupost news za Diamond. Lol
 
millard ayo anafanya biashara,shida ni nyinyi wadananda hapo wcb sasa.

wengine wanagombea ubunge wakati huo wakiitwa boss.
 
Hakuna aliyelalamika ila mtoa mada katoa taarifa tu kwamba Millard karudia matapishi yake, kaanza kumpost Simba.
Usimpost wala kumwongelea Diamond utampost msanii yupi sasa kizazi hiki?
Labda Deal Done ndio maana kaanza kumpost,kwani wakati hampost hapo mwanzo aliishiwa watu wa kupost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…