Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

mbona una hasira ivyo? una wembe karibu utafune kidogo c bure una wivu wew
 
Aanze Kufungua Viwanda Huyu Kwa Pesa Aliyonayo
 
Anajitunza pia Mwili na Akili na anaongozwa na hofu ya MUNGU.

Anaupendo wa kweli kwa binadamu wenzie anasikitikia matatizo ya kimaisha ya wengine na ana fikra za kushirikiana na jamii isiyojiweza kutatua shida zao.

Nilimsikiliza akihojiwa na Dada Rita hakika jamaa nilimkubali saana nami namtakia mafanikio zaidi na zaidi.

Alijielezea kuwa rafiki zake sometimes wanamshangaa kwann anatembelea gari ya kawaida ! Wakati anaouwezo mkubwa.
 


Kupotosha umma sio jambo jema,, youtube hailipi kwa subscribers ,,ni kwa views .. na kwa videos za millard ayo hata video moja ikifika million views atalipwa 10,000$ (taking that amount ya 10$ per 1000 views) whereas sidhani kama millard vids zake zinagongaga million,, so naomba uongee vitu vinavyosense na sio kuwablackmail watu humu

Your boy Ngebo...
 
Hana vdeo Ata moja inayofika million kuna moja kajitaid kafikisha laki tano ivyo kwa cpm ya tz kwalipwa dollar 556 ambayo aizidi million 1.5tzs
Mtoa uzi si hakua na cha kuandika anaamua kudanganya
 
Eti eeeeh mi mwenyewe youtuber napata viewers wengi kuliko uyo mirald cheki chanell yangu teco gamer ni kuhusu games apps na nimetarget America audience na cpm yangu n 3$ kwa 1000 views
Would check it out
 
Mweeeee unawaponza wenzio. Watu wa TRA watawashukia na kuwakamua kweli kweli. Subiri uone.
 
Halafu anaishi simplee balaaa namuona wa mbali sana...hata vaa yake kofia nyuma fulana ya kawaida kikaputura...headphone kisaa cha plastic +American boots always nyeusi..na kirozari chake keep it up milard wewe ni mfano wa kuigwa....hata afulie huwez jua sio mtu wa show off..
 
yes

kuna siku nilikutana nae photopoint, nikajua walewale superstars unaweza kumsalimia akachuna na akajiona unajikomba!!!....

akanisalimia kwa heshima sana, tukaanza story!! humble sana
Me nilipiga naye picha kabisa
 
kama hawa wanapata milion 50 kwa hizi view milion 3 , hivi Wiz Khalifa na ile video ya see you again ina view bilion 3 analipwa kiasi gani kwa mwezi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…