Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

SASA We Ndo Hujui Unachokiongea! Hata Idadi Ya Viewers Inaangaliwa Kwenye Malipo Ya YouTube! Thought Na Hilo La Matangazo Pia Huingiza Mkwanja Pia.

Wajinga kama nyie kuwaelewesha ni kazi sana
Sasa kama ni hivyo vipi kwa kina Justin wao si ndio wangekuwa wanaongoza kwa malipo maana video zao nyingi zinafikisha 1. bilion viewers.

Muwe mnapitia hta huko google kusoma kidogo...

Wewe ni wale wale wanaojua kuingia facebook, kutumia whatsapp, kuangalia porn na youtube
 
Ayotv ni YouTube channel sio TV,..!
boss i dnt remember the last time nmewasha ITV mi content zangu zote YOUTUBE na ONLINE koz nna SMART TV so kama unapata content zote na bado wataka hadi uwe na mlingoti then lets agree to disagree ila hata nje ndo way wanareach more viewers nadhan hata hizi BET ,FOX,ALJAZEERA Wanafanya hivyo
 
embu tia neno comredi,
Hawa bavicha wasitudanganyee [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaha unajua vituko vingi sana nchi hii..
Mimi ninachojua You tube wanalipa kulingana na views ya matangazo yaliyowekwa nasi idadi ya views na malipo yako wanakata parcent yao...na kama ni kweli wanalipa tuu kwa number ya views basi millard alistahili kulipwa billion kwa mwezi....
Kwa hiyo mleta mada kaongeza namba.
 
hivi revenue za Youtube na blogs zenye adsense, serikali wanapata kodi?
 
ila millard ayo ana matangazo ya voda na GSM kwenye video zake, halafu ana adsense tena, combine hao sponsor wote ni kiasi gani kwa mwezi?
 
Sijui ila kwa marekani IRS wanazikata mapema ziingiapo kwenye account yako
sasa marekani wamkate mtu yupo Tz kodi kwa minajili gani? labda wangaikata kampuni ya Youtube pekee, inge make sense
 
sasa marekani wamkate mtu yupo Tz kodi kwa minajili gani? labda wangaikata kampuni ya Youtube pekee, inge make sense

Mimi nimesema kuwa sijui kwa tanzania ila kwa Marekani IRS wanaikata hela yao mapema tu ikizama kwenye account yako
 
Ila hapa inaongelea Youtube

Youtube wanasema kipato chake kwa mwezi kina range kuanzia, dola 2,600 hadi dola 41, 400..... ukichukulia katikati hapo ni kama dola 22,000 amabazo ni milioni almost 50 kwa tanzania, bila kodi

 
Hebu mnijuze na mimi jinsi gani ya kuwa presenter au mdau wa You Tube au Google nivute mkwanjaa wengi tunaitaka hiyo fursa ,Namna tu ya kuwa join....Tupeni darasa basi wajuaji tuchangamkie
 
Youtube wanasema kipato chake kwa mwezi kina range kuanzia, dola 2,600 hadi dola 41, 400..... ukichukulia katikati hapo ni kama dola 22,000 amabazo ni milioni almost 50 kwa tanzania, bila kodi

View attachment 547197

Najua ulipoitoa na hao watu pia wao hawajagusa kuhusu ad views wao wanaangalia tu watu wa ngapi wameona video fulani. tukumbuke kuwa video nyingi za millardi hazina matangazo mwanzoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…