Ivan mapalala
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 285
- 103
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji41] [emoji41] mabebzii wangemkomaa townUngekuwa hizo anazipata Lemutuz tusingekaa mjini, maana nae nasikia anafungua online TV!
Anyway hongera sana Millard ago halafu yuko poa kama hapati chochote vile!
Always humble....
usidanganye watuKwanza kabisa nikupe hongera Millard ayo kwa kazi nzuri unayofanya ya uandishi wa Habari. Wewe una kipaji kikubwa sana.
Presenter millard Ayo ndio anayetajwa kuwa mtu anayepokea royalities za You tube nyingi zaidi baada ya Diamond Platnumz katika nchi ya Tanzania, hii ni kutokana na viewers na subscribers wa channel zake ambapo kwa mwezi malipo yake huwa yana range mil 50 hadi 80 kutokana na idadi ya viewers, diamond anarange 80mil-130mil kwa mwezi.
Kwakweli nimpe hongera kwani ameajiri vijana wengi(zaidi ya 10) ktk online TV yake.
Vijana nawaasa muwe wabunifu kama millard na mtafanikiwa sana. Millard ayo tunatarajia kuona mambo zsidi kutoka kwako, ikiwezekana ufungue kituo cha radio na television kwani una mashabiki wengi.
Wengine wanaovuna mkwanja mkubwa you tube ni global tv, harmonize, rayvanny. Actually hata wasanii ambao sijawataja nao wanapata pesa nyingi tu.
Thanks
yale matangazo ya voda au wadhamini wengine ambao millard huyachomeka ndio huumpa pesaaMimi sijapotosha mtu
Nimeongea kile ambacho kinafanyika
Youtube wanalipa endapo tangazo kwenye video yako litaangaliwa angalau kwa sekunde 30 tena utalipwa kwa views 1000 dollar 7 na point kadhaa hivi
Kwenye hayo malipo youtube anachukua 45pc ya malipo yako
Hivyo kwa millardi na diamond kutengeneza hizo hela ni uongo maana sidhani kama wana views za kutosha kiasi hicho
Na wao video zao nyingi hazina matangazo
Kama ingeangaliwa views tu
Justin Bieber angeongoza maana video zake nyingi zinasoma 1bil na kuendelea
embu tia neno comredi,Mmmh ngoja nikae kimya
Kwan wale wanategemea mishahara tu?Yaani Amewapita Presidential Appointee Wa Rais Maana Waliambiwa Mwisho Millions 15
Wivu huna ila roho inaumaaAnalipa kodi?
Zimwi
Comred, sijui bashite atawatuma TRA kuifuatilia kama jamaa analipa kodi?Hahaha naona watu wamesha nunua huu uongo...na huu uongo lengo lake ni kumharibia Millard Ayo.
Niliambiwa ni 4 enzi zile, sijui za kupikwa?
Mkuu nadhani sasa ungepunguza mihemko. Kama ulivyosema tuna safari ndefu na imani bado tuko katikati ya safari bado hatujafika. Kama tutafika na huo umbumbu bado upo hapo ni sawa.Mitanzania mingi ni mijinga sana
Mbumbumbu haielewi hata kusoma haijui na mingi iko mitandaoni
Hata kwenda google tu kujua jinsi wanavyolipa youtube hawawezi
Tuna safari ndefu sana
Mkuu unatatizo na millard?Bila shaka hata akitaka Kukuolea Dada yako hutamfanyia Ngendembwe / Hila / Mtimanyongo Mkuu na utampa ushirikiano wa Kutukuka.
hahahah uzuri sina dadaa.. ila jf ninao kibao nazan watamsaidia sana kwenye website yakeBila shaka hata akitaka Kukuolea Dada yako hutamfanyia Ngendembwe / Hila / Mtimanyongo Mkuu na utampa ushirikiano wa Kutukuka.
hahahahhaahKwani Mange Kimambi anasemaje mpaka sasa kuhusu hili.?
Nilitaka kuandika ivi ivi afadhali umekuja kumuelewesha.. Hawa watu sijui wanatoa wapi izi habari.. Tafadhali mods futeni huu uzi unadanganyaaaKama hamna uhakika msiwe mnakuja tudanganya hapa
Youtube hailipi kwa views au kwa idadi ya watu walio view content yako
Youtube wanalipa kwa matangazo yanayotokea kwenye video uliyoweka
Piga hesabu sasa ni matangazo mangapi ya youtube unayakuta kwenye video za millardi au diamond
Kwa ad views 1000 mtu hupata approximately 7.9 dollars ambazo hapo youtube wanakata 45pc wanaichukua wao
Ili upate angalau dollar 3000 watakiwa upate viewers watakao view ads kwenye video zako zaidi ya viewers milioni moja
Kuna youtube superstars wenye subscribers zaidi ya milioni wanaishia hicho ulichosema kuhusu diamond na hiyo ni hela ya mwaka mzima sio ya mwezi kama unavyotaka danganya watu
Mkuu unatatizo na millard?
Inawezekana mkuu maana huyo Dogo harmonize anakula 30mNae atakuwa bilionea basi..wabongo bhana kutaja kiasi cha hela ni wepesi sana
Sent using Jamii Forums mobile app