Kibuyu Kazi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2017
- 303
- 90
Hahahhahahaah[emoji13] [emoji13] wabongo hatari sana acheni kufatilia maisha yawatu tafuteni pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna hapa.....wivu ndio kitu gani.....nyie wanaume tukiwa tumepauka huwa hamuhangaiki na sisi ila mkisikia tumezifumania huko zilipokuwapo mnaanza shobo na sisi as if mlikuwa mnatuelewa longtime ili mpate Rav 4 na laki tano kwa wiki. Acheni tamaa....watoto wakike mnazingua balaa!Mwanaume mzima, unakuwa na wivu
Unatokwa povuuu, utafikiri umemeza sabuni ya omo.Unataka kuwa shemeji yetu. Na iyo MIMBA kwenye AVATAR yako utaipeleka akaileee au?
Hamna hapa.....wivu ndio kitu gani.....nyie wanaume tukiwa tumepauka huwa hamuhangaiki na sisi ila mkisikia tumezifumania huko zilipokuwapo mnaanza shobo na sisi as if mlikuwa mnatuelewa longtime ili mpate Rav 4 na laki tano kwa wiki. Acheni tamaa....watoto wakike mnazingua balaa!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha khaaaaaah sisi hatukubakishi hata kidogoUnatokwa povuuu, utafikiri umemeza sabuni ya omo.
[emoji33].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asa mi tangazo la nini, napigaga skip mapema tu...hahahah! Kumbe kuna raia wanakosaga hela pale duh!nikionaga ile ads ya tangazo nairusha fasta niende kwenye content ya nilichokusudia kufungua youtube
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Sasa kwa maana hio inatakiwa uwe na video zaidi ya moja kwa mwezi na atleast usikose viewers laki moja na hamsini ili usecure japo dola mia.Tunaripa kodi auto asilimia 20% ya mapato yetu yote Google wanaikata alafu wao ndo wanailipa serikali
Mwingine atakaye kuwa billionea wa ukweli ni huyu mtani wangu Max mwenye JF, kwani by 2025 hivi Google watanunua vyanzo vyote vya data kwa ajili ya "Big Data" business ambapo data zitakuwa na value kuliko mafuta ya mwarabu so mtani kaa mkao wa kunywa rubisi ki ulainiiii! vumilia tu na uache kale ka mchezo ka kutengeneza mto!Uyu angefungua station yake au atengeneze vipind auze...
Halipwi kutokana na views...kama hawa wanapata milion 50 kwa hizi view milion 3 , hivi Wiz Khalifa na ile video ya see you again ina view bilion 3 analipwa kiasi gani kwa mwezi..
Hamna hapa.....wivu ndio kitu gani.....nyie wanaume tukiwa tumepauka huwa hamuhangaiki na sisi ila mkisikia tumezifumania huko zilipokuwapo mnaanza shobo na sisi as if mlikuwa mnatuelewa longtime ili mpate Rav 4 na laki tano kwa wiki. Acheni tamaa....watoto wakike mnazingua balaa!
Moja kati ya mambo ambayo tunadanganyana Tanzania ni kuzuiana kujadili mafanikio ya wengine.... Ukweli ni kwamba huwezi kuyakwepa hayo kwa sababu ndio maisha yenyewe, huwezi kufanikiwa Pasipo kuwa na habari za waliofanikiwa.... Heshima yako lkn ndugu yangu!MKUU MBONA UNATUDANGANYA MCHANA KWEUPE?
ANYWAY, WATU WENYE UELEWA MDOGO NDIYO HUJADILI MAISHA YA WENGNE.
Mtu wa Arusha ni mmeruHaha [emoji23] haha [emoji23] masihala sio mpare ni nani mchaga au?
Aisee na mimi ndo ivyo, kumbe tunawanyima riziki wenzetu?Asa mi tangazo la nini, napigaga skip mapema tu...hahahah! Kumbe kuna raia wanakosaga hela pale duh!