Millard Ayo na Meena Ally

Baba ilumba

Member
Joined
Apr 18, 2020
Posts
37
Reaction score
49
Habarini wana JF

Leo asubuhi niko dukani kwa Mangi nanunua kamkate tukafungue kinywa. Basi pembeni hapo dukani kuna hawa wadada na wamama wauza vitafunio, wakawa wanaongea kitu na kuonekana kila mmoja kuwa na upande wake.

Jambo lenyewe kumbe ni udaku bwana eti hawa watangazaji wa Clouds Millard na Menina huenda wakawa kwenye uhusiano wa kimapenzi lakini wanafanya kificho tu maana si kwa ukaribu walionao jana ilikuwa birthday ya Menina walikuwa wanazunguka wote tu kwenye supermarket huenda wana uhusiano wa kimapenzi hao.

My take: Mimi nikajisemea tu kama in kweli basi couple yao itapendeza maana wanaendana sana tu.
 
Haha'.!
Kuna siku nilikuwa huko, nikawa nimeenda saloon, Jinsi wale wanawake walivyowachambua, nikasema sinto date mwanaume wa huo mkoa walaqhi.!
Besti, mwanaume wa Dar atakuchafua tu, yani ile ndio imekaa vizuri unaiskilizia ikipenya " utaskia ,nakuja nakuja nakuja, haaaa" hapo hakuna hakuna tena anakwambia anawahi kikao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…