hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Dar hakuna wanaume wa hovyo kiasi hikiMnatudhalilisha sana. Wanaume wote tuliopo Dar tunaonekana hatuna maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dar hakuna wanaume wa hovyo kiasi hikiMnatudhalilisha sana. Wanaume wote tuliopo Dar tunaonekana hatuna maana.
EwaaaaNi kweli. Nimekuja tu kutafuta. [emoji848]
HaoKama wako pamoja ni vizuri sana
Vidada vinaguswaguswa tu nawapaka poda wanasingizia wamekutana na wanaume . Siku ukienda tena hapo kawape hii ID .watakuja kukupa stori tofauti kabisa.Nachagua kukuamini sababu mwisho wa siku niliyaskia kwa wanawake wenu hata siyo wa mkoani, tungesema wanasingiziwa maskiini.!
Nawajua
Wakumbuke tu kuwa social distance si level seat kwenye daladala ni mita mbili kati ya mtu na mtu
😂😂😂😂😂Na hata wanapofanya mapenzi wasisahau kuvaa #barakoa ili wasirushiane vimate mate vyenye covid 😂😂😂
😂 😂Mimi nikiwa dsm sipendi kutembea unless ni asubuhi sana au jioni sababu ya joto yaani dakika mbili unaona vest ishalowa. Unaniweka kundi gani mama ushauri 😊😊
😂😂Imebidi nishangae kabisa. Marahabaaaa.
Ubarikiwe dada mkubwa,HAPANA
Sio wote, mwanaume wangu wa Dar wala hayupo hivyo jamani! Ila hajazaliwa Dar [emoji848]
Una pesa za kuwapa lakini mkuu??Vidada vinaguswaguswa tu nawapaka poda wanasingizia wamekutana na wanaume . Siku ukienda tena hapo kawape hii ID .watakuja kukupa stori tofauti kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂
Wanaume wa Dar kama kawaida yenu😀😀Mnatudhalilisha sana. Wanaume wote tuliopo Dar tunaonekana hatuna maana.
Hivi mimi hata kwa kuniona naweza kuwa hivyo kweli.??Wanaume wa Dar kama kawaida yenu😀😀