Millard Ayo na Meena Ally

Millard Ayo na Meena Ally

Wakumbuke tu kuwa social distance si level seat kwenye daladala ni mita mbili kati ya mtu na mtu
leo umenifungua macho madame mi nilidhani level seat baada ya kugombea daladala ndo social distancing...basi condor alikuwa akizidisha hata mtu mmoja povu linanitoka asikwambie mtu...kumbe ulikuwa ni umbwea tu..
 
😂
 
Besti, mwanaume wa Dar atakuchafua tu, yani ile ndio imekaa vizuri unaiskilizia ikipenya " utaskia ,nakuja nakuja nakuja, haaaa" hapo hakuna hakuna tena anakwambia anawahi kikao
aaa1.jpeg
aaa.jpeg
 
Kikao Cha harusi?
 
Back
Top Bottom