Dar hakuna wanaume wa hovyo kiasi hikiMnatudhalilisha sana. Wanaume wote tuliopo Dar tunaonekana hatuna maana.
EwaaaaNi kweli. Nimekuja tu kutafuta. [emoji848]
HaoKama wako pamoja ni vizuri sana
Vidada vinaguswaguswa tu nawapaka poda wanasingizia wamekutana na wanaume . Siku ukienda tena hapo kawape hii ID .watakuja kukupa stori tofauti kabisa.Nachagua kukuamini sababu mwisho wa siku niliyaskia kwa wanawake wenu hata siyo wa mkoani, tungesema wanasingiziwa maskiini.!
Nawajua
Wakumbuke tu kuwa social distance si level seat kwenye daladala ni mita mbili kati ya mtu na mtu
πππππNa hata wanapofanya mapenzi wasisahau kuvaa #barakoa ili wasirushiane vimate mate vyenye covid πππ
π πMimi nikiwa dsm sipendi kutembea unless ni asubuhi sana au jioni sababu ya joto yaani dakika mbili unaona vest ishalowa. Unaniweka kundi gani mama ushauri ππ
ππImebidi nishangae kabisa. Marahabaaaa.
Ubarikiwe dada mkubwa,HAPANA
Sio wote, mwanaume wangu wa Dar wala hayupo hivyo jamani! Ila hajazaliwa Dar [emoji848]
Una pesa za kuwapa lakini mkuu??Vidada vinaguswaguswa tu nawapaka poda wanasingizia wamekutana na wanaume . Siku ukienda tena hapo kawape hii ID .watakuja kukupa stori tofauti kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππ
Wanaume wa Dar kama kawaida yenuππMnatudhalilisha sana. Wanaume wote tuliopo Dar tunaonekana hatuna maana.
Hivi mimi hata kwa kuniona naweza kuwa hivyo kweli.??Wanaume wa Dar kama kawaida yenuππ