Millard Ayo ni mbaguzi

Millard Ayo ni mbaguzi

MUMU THE DON

Senior Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
148
Reaction score
183
Millard katubagua wale wote wapenzi wa Kilimanjaro Music Tour kwa kutoleta news zake on air tofauti na Serengeti Fiesta ambapo hupamba kwa habari kibao hata kabla ya tukio lakini hii ya kili music tour Dar kaitupia mbali au sababu inapromotiwa na EATV/RADIO.

Hata kama ila yeye kama source ya habari inambidi awe na habari zote na asiwe mbaguzi kwani sisi hatubagui media.
 
Yani atoea habar ambazo kampuni hazitak zitolewe kwenye media yao? Unataka afukuzwe kazi? Ataishije mjini apa?, Na wewe umesema ubagui media, basi sikiliza radio nyingine zinazoongelea kili tour, sio lazima clouds tu
 
Jibu zuri sana
 
cjamanisha kpnd chake cha clouds ww. media hata millardayo.com ni media na anajitegemea yy ka yy kwa nn asituweke news cc watu wake wa nguvu bhana.
 
hata akiweka huko maboss wake watachungulia na kumkanya. chezea akina kivuRUGE wew
 
cjamanisha kpnd chake cha clouds ww. media hata millardayo.com ni media na anajitegemea yy ka yy kwa nn asituweke news cc watu wake wa nguvu bhana.

Na wewe si umesema hubagui media? Kwa nini usisikilize media nyingine?
 
Fiesta zote za kipumbavu tu na hazina dili wala maadili katika jamii yetu. Nikuulize wewe mlalamikaji...Fiesta inakusaidia nini au umejifunza nini na hiyo michosho ya Fiesta?
 
Mkuu kwenye ajira kuna mkataba una sign ambapo kuna kipengele cha conflicts of interest kwamba hautakiwi kujishughurisha na kitu chochote ambacho kinafanya kazi zinazocompete na kampuni unayofanya kazi,kitendo cha miradi kupromote habari za kili ni kinyume na mkataba wake wa kazi,inaonyesha haumtakii mema Ayoo!
 
Uyo mtu wako wa nguvu anategemea clouds ili mkono uende kinywani sasa akiwatangaza wengine unataka kiote majani
 
Yani atoea habar ambazo kampuni hazitak zitolewe kwenye media yao? Unataka afukuzwe kazi? Ataishije mjini apa?, Na wewe umesema ubagui media, basi sikiliza radio nyingine zinazoongelea kili tour, sio lazima clouds tu

Ni yey mwenyewe kujish2kia 2 lakin co kwamba mkataba unambana mbona huwa ana2pia screenshots za radio one breaking news, video za itv, na alihojiwa kipindi cha mkasi cha eatv au uko co kwa wapinzani wao?
 
safi kabisa binamu
 
Bado radio zipo nyingi na hambagui kama mlivyosema au mnapenda tu kuiongelea clouds? Mbona sisi Team lady jaydee hatulalamiki kwa nini millard halet habar za jide? Si kwa sababu tunajua wasipoleta wao media nyingine kama Tv,newspaper, social networks n mengineyo lazima tupate habar zake? Au kama vip google utaletea matukio yote na picha juu, au hata kusoma hujui ndugu yangu
 
Back
Top Bottom