Millard Ayo ni mbaguzi

Millard Ayo ni mbaguzi

Yani atoea habar ambazo kampuni hazitak zitolewe kwenye media yao? Unataka afukuzwe kazi? Ataishije mjini apa?, Na wewe umesema ubagui media, basi sikiliza radio nyingine zinazoongelea kili tour, sio lazima clouds tu
Issue wala sio kampuni haitaki zitolewe hizo habari kwenye media zao issue ni kwamba hamna kitu kama hicho kwenye ulimwengu wa biashara... that's it! Serengeti Fiesta na Kilimanjaro Music Tour ni Close competitors... there's no way in business world taasisi moja ya kibiashara inaweza kutangaza biashara ya mshindani wake!
 
Unaenda mbele halafu unarudi nyuma
 
ashindwe kutoa habar za jay dee kuchukua tunzo U.S.A halafu atoe hii we umtakii mema mwenzako mjin hapaa kwan asipofanya hivyo atauza 0713......
 
Halafu nasimama wima...

Umeenda mbele halafu mwisho wa siku ukarudi pale pale kuwa ni kitu ambacho hakiwezekani kwenye ulimwengu wa biashara, ndio maana nikamwambia mtoa mada kuwa anataka millard afukuzwe kazi? na ndio maana nikamshauri asikilize radio nyingine tu zinazotoa habar za vitu anavyovitaka kwa kuwq nilijua hiko kitu asikitarajie kabisa clouds
 
Bado radio zipo nyingi na hambagui kama mlivyosema au mnapenda tu kuiongelea clouds? Mbona sisi Team lady jaydee hatulalamiki kwa nini millard halet habar za jide? Si kwa sababu tunajua wasipoleta wao media nyingine kama Tv,newspaper, social networks n mengineyo lazima tupate habar zake? Au kama vip google utaletea matukio yote na picha juu, au hata kusoma hujui ndugu yangu

kumbe we tim lady jde af unaifaigilia cloudz wap na wap mkuu
 
Ooh!! Sitak tindikal mimi kumwagia, maana huyo n mutoto ya kizito, b dozen anawaaribu sana wenzie

heeee usituambie....mbna mabwaku binamu...ebu tupe zawad ya birthday kwa kuupepeta mchele huu
 
Feisal madinda, mtoto wa aisha madinda anamjua vzur kijana huyu mtakatifu, halafu wanapenda sana waume za watu, kwan ukiwa staa lazima uendeshe buggat au range kama jide? Kama huna huna, unapewa kluger nyeus kesho lexus, keshokutwa unapokonywa, wapi chrispin wa clouds
 
vijana tamaaa mjini na kutaka maisha ya juu kwa mshahara wa laki 5 ndo unaleta haya...ptuuuuu
 
Yani umeongea kitu ambacho hakipo kabisa duniani kote! Hiyo ni dhambi ya competition and business.
 
Issue wala sio kampuni haitaki zitolewe hizo habari kwenye media zao issue ni kwamba hamna kitu kama hicho kwenye ulimwengu wa biashara... that's it! Serengeti Fiesta na Kilimanjaro Music Tour ni Close competitors... there's no way in business world taasisi moja ya kibiashara inaweza kutangaza biashara ya mshindani wake!

- Salute sana!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom