Millard Ayo unatuangusha

Millard Ayo unatuangusha

Kwa hilo millard unatuangusha badirika usiegemee upande mmoja uwe sawa kwa wote
 
Umeelewa post yangu mkuu. Millard anapost video za show and events za wasanii mbali mbali, video ya show ya jaydee imekuwa posted na media mbali mbali after the show kama highlights, millard does that kwa wasanii wote karibia. Hata birthday ya nuhu mziwanda alipost kwenye youtube. Swala ni kwa nini show ya jayde ukiacha kuongelea, hata kupost maana it was one of the big events zimetokea last weekend
Na mi nikaongelea copyright kama jyd hajakubali kishare copyright?
 
Hata mimi nashindwa kushangaa kwa sababu ile millardayo.com ni yake anaingizaje mambo ya kwenye ajira yake na huku kwenye kazi yake ya ziada au mkataba unaingilia hata vitu vilivyo nje ya ofisi zao.
Ya ni yake sasa whats yua problem. Tayari ni yake. Kama vipi nenda YouTube kareport basi alafu kwenye maelezo sema video ya jayd haipo
 
Birthday ya nuhu mziwanda je alilipia?
Behind the scene ya chura anaruka ililipiwa?
Birthday ya mtoto wa dancer wa diamond alilipia?

Nadhani mwenzangu huelewi vizuri dhana ya habari? You don't pay kwa ajili ya habari. Kama show ishafanyika thats news my friend, sio matangazo. EA alilipia matangazo kabla ya show na live coverage. Cjui umenielewa
Ile sio news station ile ni Vlog ana haki ya kupost na kuacha
 
fungua blog yako na upost mambo ya jide. nahs utakuwa umecover ile deficit ya habari.. tusimwachie mtu mmoja eti

note: ni mtazamo tu
 
Buenos noches
Huyu kijana naweza sema ni mtanashati na mbunifu sana kwenye tasnia ya habari, anatumia vizuri social media kutufikishia habari ontime na uncernsored. Kupitia youtube channel yake pia blog yake ya millardayo.com tunapata updated news.

Awali nilifikiri millard anatuhabarisha au anapost every current news, hachagui habari, last week alipost ishu ya alikiba na mikataba ya sony. Vilevile alipost diamond na deal ya redgold tomato.

Ila nimepata wasiwasi pale ambapo hajapost anything about LADY JAYDEE na show yake, hata highlights hakuna. Inamaana AyoTV ni ya ruge au kwenye mikataba ya clouds kwa wafanyakazi wake kuna clause yakumzuia staff kujihusisha na habari zozote za lady jaydee.

Kwangu naona hapo anakosa ueledi na utashi wa kuchagua habari za kupost, alipost behind the scene za nyimbo ya chura, pia hata ishu sijui ya bday ya dancer wa diamond. Inamaana show ya Jaydee wasn't relevant au!!!!

Note:
Ni mtazamo tu
Labda nifungue macho wale ambao hamjui maana ya mkataba ama ni wale wavivu wakusoma mnatafuta sehemu ya sign mnasign mnatembea...
"MFANYAKAZI(MUAJIRIWA ) WA KAMPUNI TUSEME SBL(SERENGETI BREWERY LIMITED) AMBAE ANA MKATABA, AKIKUTWA ANATUMIA AMA KUNADI KINYWAJI EITHER CHA KUTENGENEZWA AU TU KUSAMBAZWA NA KAMPUNI PINZANI TBL(TANZANIA BREWERY LTD) ANAWEZA FUKUZWA KAZI MARA MOJA NA HATA KUCHUKULIWA HATU ZA KISHERIA."

Kama umeelewa hapo nadhani unaweza kujua kwa nini Milardayo ambae yuko chini ya Clouds Media hawezi kupost chochote kinachohusiana na kampuni pinzani.

JAPO MILARDAYO ni ya kwake lakini yeye anamilikiwa na CLOUDS MEDIA hivo bado haruhusiwi kuitangaza kampuni pinzani.

#logging_out
Kwa ambae hajaelewa akapimwe akili (in tunfu lisu voice [emoji28] )
 
Watu mnataka kufanya maisha yawe magumu kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akijarbu tu huyo kbarua kmeota nyas
 
Labda nifungue macho wale ambao hamjui maana ya mkataba ama ni wale wavivu wakusoma mnatafuta sehemu ya sign mnasign mnatembea...
"MFANYAKAZI(MUAJIRIWA ) WA KAMPUNI TUSEME SBL(SERENGETI BREWERY LIMITED) AMBAE ANA MKATABA, AKIKUTWA ANATUMIA AMA KUNADI KINYWAJI EITHER CHA KUTENGENEZWA AU TU KUSAMBAZWA NA KAMPUNI PINZANI TBL(TANZANIA BREWERY LTD) ANAWEZA FUKUZWA KAZI MARA MOJA NA HATA KUCHUKULIWA HATU ZA KISHERIA."

Kama umeelewa hapo nadhani unaweza kujua kwa nini Milardayo ambae yuko chini ya Clouds Media hawezi kupost chochote kinachohusiana na kampuni pinzani.

JAPO MILARDAYO ni ya kwake lakini yeye anamilikiwa na CLOUDS MEDIA hivo bado haruhusiwi kuitangaza kampuni pinzani.

#logging_out
Kwa ambae hajaelewa akapimwe akili (in tunfu lisu voice [emoji28] )

Hapo umenena mkuu. Ila kutokana na tetesi, income anayogenerate Ayo kwa kupitia social network ni kubwa sana kupita salary yake. Kwa nn asichomoke awe freelancer
 
Hapo umenena mkuu. Ila kutokana na tetesi, income anayogenerate Ayo kwa kupitia social network ni kubwa sana kupita salary yake. Kwa nn asichomoke awe freelancer
Dont put all your eggs in one basket.kwa mayoutubers wote saivi tunaofuatilia tuko hati hati kukosa ulaji wa bure maana kuna kitu kinaitwa YouTube Red kiko kama Netflix
So unaeza jua kwa nini milard yupo clouds
 
Kweli I heard about it
 
Aah millard ayo mwenywe cku izi cjui kapewa tenda ya kuwa report wa paul makonda na ccm
 
Sawa ila matangazo ya EA RADIO alilipia kwa nn millardayo amwekee bure?
Ile ni habar sio tangazo wewe, tofpautisha tangazo na kutoa habar ya yaliyojir. Millard anatakiwa asibague habar since hiyo blog inajitegemea.
 
Vipi mkuu mbona unatumia nguvu kubwa mno ........ hayo ni maoni yangu na wewe toa yako.
Every action is equal to opposite reaction.
Hii ni kutokana na maoni yako ndo maana imebidi nitumie nguvu zaidi labda waeza kua inspired kuraise your IQ
 
Back
Top Bottom