Millard Ayo unatuangusha

Millard Ayo unatuangusha

Ile ni habar sio tangazo wewe, tofpautisha tangazo na kutoa habar ya yaliyojir. Millard anatakiwa asibague habar since hiyo blog inajitegemea.
Blogu yake inajiyegemea ila yeye anamilikiwa.
Kwa io akishamilikiwa automatically na vyake vinamilikiwa.
Refer mfano nliotoa wa SBL na TBL ndo mambo ya mkataba hayo.
 
Labda nifungue macho wale ambao hamjui maana ya mkataba ama ni wale wavivu wakusoma mnatafuta sehemu ya sign mnasign mnatembea...
"MFANYAKAZI(MUAJIRIWA ) WA KAMPUNI TUSEME SBL(SERENGETI BREWERY LIMITED) AMBAE ANA MKATABA, AKIKUTWA ANATUMIA AMA KUNADI KINYWAJI EITHER CHA KUTENGENEZWA AU TU KUSAMBAZWA NA KAMPUNI PINZANI TBL(TANZANIA BREWERY LTD) ANAWEZA FUKUZWA KAZI MARA MOJA NA HATA KUCHUKULIWA HATU ZA KISHERIA."

Kama umeelewa hapo nadhani unaweza kujua kwa nini Milardayo ambae yuko chini ya Clouds Media hawezi kupost chochote kinachohusiana na kampuni pinzani.

JAPO MILARDAYO ni ya kwake lakini yeye anamilikiwa na CLOUDS MEDIA hivo bado haruhusiwi kuitangaza kampuni pinzani.

#logging_out
Kwa ambae hajaelewa akapimwe akili (in tunfu lisu voice [emoji28] )
Labda ungetuelewesha kwa lugha ya Kimakonde
 
Ile ni habar sio tangazo wewe, tofpautisha tangazo na kutoa habar ya yaliyojir. Millard anatakiwa asibague habar since hiyo blog inajitegemea.

Unauhakika gani kama inajitegemea??
Maana habari nyingi za clouds unazikuta mule
Hekaheka
Power breakfast
Amplifaya
XXL
 
Hivi kwanini ile show ya JIDE haikupata media attention kubwa? kwani imeshafanyika maana sikuona vishindo vikubwa ambavyo nilivitarajia..
 
Conflicts of interest mdau itakuwa inahusika hapo. Ajira ni tamu ndugu. Usione watu wana vijimiradi vyao lakini kuajiriwa hawaachi. Kesho haijulikani ilivyo ingawa inaweza kutabirika.
 
Ajira Ajira Ajira! Zinachangamoto Ucone Watu Wanaendesha Magari Tu, Behind Wanajua Wenyewe. Ucone Watu Wanawaachsha Wake Zao Kazi, Uliza. Jamaa Zangu Flan Wanafanya Kaz Kampun Moja Ya Vilevi Ni Ma HR, Kuna Cku Walikua Wananiambia Kuhusu Wanavo Wapata Mabinti, Tena Field Tu Bora Ingekua Ajira Bac. Licha Ya Kuwa Cc Ni Vjana Lkn Km Una Dada, Mke, Mchumba Au Mtoto Unajckiaje? Kumbuka Kaz Ndo Injin Ya Maisha Ya Mtu, Fikiria. Safar Ya Kuishi Hapa Dunia Cku Ukiimaliza Bado Ww Ni Shujaa.
 
Millardayo yy anatafuta views katika blog ..xo anaangalia ni kipi au habari ipi itampa views wingi ..xo usimpangie
 
Back
Top Bottom