Millard Ayo unatuangusha

Kwa hilo millard unatuangusha badirika usiegemee upande mmoja uwe sawa kwa wote
 
Na mi nikaongelea copyright kama jyd hajakubali kishare copyright?
 
Hata mimi nashindwa kushangaa kwa sababu ile millardayo.com ni yake anaingizaje mambo ya kwenye ajira yake na huku kwenye kazi yake ya ziada au mkataba unaingilia hata vitu vilivyo nje ya ofisi zao.
Ya ni yake sasa whats yua problem. Tayari ni yake. Kama vipi nenda YouTube kareport basi alafu kwenye maelezo sema video ya jayd haipo
 
Ile sio news station ile ni Vlog ana haki ya kupost na kuacha
 
fungua blog yako na upost mambo ya jide. nahs utakuwa umecover ile deficit ya habari.. tusimwachie mtu mmoja eti

note: ni mtazamo tu
 
Labda nifungue macho wale ambao hamjui maana ya mkataba ama ni wale wavivu wakusoma mnatafuta sehemu ya sign mnasign mnatembea...
"MFANYAKAZI(MUAJIRIWA ) WA KAMPUNI TUSEME SBL(SERENGETI BREWERY LIMITED) AMBAE ANA MKATABA, AKIKUTWA ANATUMIA AMA KUNADI KINYWAJI EITHER CHA KUTENGENEZWA AU TU KUSAMBAZWA NA KAMPUNI PINZANI TBL(TANZANIA BREWERY LTD) ANAWEZA FUKUZWA KAZI MARA MOJA NA HATA KUCHUKULIWA HATU ZA KISHERIA."

Kama umeelewa hapo nadhani unaweza kujua kwa nini Milardayo ambae yuko chini ya Clouds Media hawezi kupost chochote kinachohusiana na kampuni pinzani.

JAPO MILARDAYO ni ya kwake lakini yeye anamilikiwa na CLOUDS MEDIA hivo bado haruhusiwi kuitangaza kampuni pinzani.

#logging_out
Kwa ambae hajaelewa akapimwe akili (in tunfu lisu voice [emoji28] )
 
Watu mnataka kufanya maisha yawe magumu kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akijarbu tu huyo kbarua kmeota nyas
 

Hapo umenena mkuu. Ila kutokana na tetesi, income anayogenerate Ayo kwa kupitia social network ni kubwa sana kupita salary yake. Kwa nn asichomoke awe freelancer
 
Hapo umenena mkuu. Ila kutokana na tetesi, income anayogenerate Ayo kwa kupitia social network ni kubwa sana kupita salary yake. Kwa nn asichomoke awe freelancer
Dont put all your eggs in one basket.kwa mayoutubers wote saivi tunaofuatilia tuko hati hati kukosa ulaji wa bure maana kuna kitu kinaitwa YouTube Red kiko kama Netflix
So unaeza jua kwa nini milard yupo clouds
 
Dont put all your eggs in one basket.kwa mayoutubers wote saivi tunaofuatilia tuko hati hati kukosa ulaji wa bure maana kuna kitu kinaitwa YouTube Red kiko kama Netflix
So unaeza jua kwa nini milard yupo clouds

Kweli I heard about it
 
Aah millard ayo mwenywe cku izi cjui kapewa tenda ya kuwa report wa paul makonda na ccm
 
Sawa ila matangazo ya EA RADIO alilipia kwa nn millardayo amwekee bure?
Ile ni habar sio tangazo wewe, tofpautisha tangazo na kutoa habar ya yaliyojir. Millard anatakiwa asibague habar since hiyo blog inajitegemea.
 
Vipi mkuu mbona unatumia nguvu kubwa mno ........ hayo ni maoni yangu na wewe toa yako.
Every action is equal to opposite reaction.
Hii ni kutokana na maoni yako ndo maana imebidi nitumie nguvu zaidi labda waeza kua inspired kuraise your IQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…