Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namsikiliza Millard ayyo apa kupitia kipindi chake cha Amplifaya, naona yupo pande za Dubai.. safi sana kijana keep it up..
Namsikiliza Millard ayyo apa kupitia kipindi chake cha Amplifaya, naona yupo pande za Dubai.. safi sana kijana keep it up..
Umejuaje kama bangi kama na wewe si mtumiaji??
Unasiliza halafu unamuona? Hivi wewe ni kilaza wa wapi usiyejuwa audio na video?
Mchukue mtoto mwenzieo mkakojoe mkalale
mkuu nyumban kwako si kule siasani? unafuata nini huku kwa watoto?
Umejuaje kama bangi kama na wewe si mtumiaji??