Millard ayyo in Dubai

Millard ayyo in Dubai

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Namsikiliza Millard ayyo apa kupitia kipindi chake cha Amplifaya, naona yupo pande za Dubai.. safi sana kijana keep it up..
 
Namsikiliza Millard ayyo apa kupitia kipindi chake cha Amplifaya, naona yupo pande za Dubai.. safi sana kijana keep it up..

mimi sijakuelewa ujue unamsikiliza alafu unaona yupo dubai
 
1508069_10152214925163792_323145466_n.jpg
 
Jamani ungetuelezeaa kirefu halafu picha hujatuwekeaa,!!!

Aaa nilikua sijaonaa kumbe mshaweka pichaa
 
mkuu nyumban kwako si kule siasani? unafuata nini huku kwa watoto?

Jamani anapunguzaa stress kule nomaa yaan Matola sipati picha nyumbani kwako maana ni mkali mkali
 
Back
Top Bottom