Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Dah kumbe furaha ya mwanamke ni kuzaa kiume hai kutoka mwilini wake na sio abortion.... Nawaza tuuuu.
 
Hapana yeye aliambiwa na ma- daktari so walaumiwe wao....mara ngapi utasikia mgonjwa kaambiwa hivi kumbe ni uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala si dk kuwa muongo...wao wanaongea wanachokiona na according to their research walizofanya na walizoona...lkn Mungu ndio mgawaji wa rizki akisema ndio ht uwe na Phd 1000 huwezi kumpinga...
Miracles
 
Mtu ambae hajawahi zaa na watu wanajua kuwa hajazaa apate mimba akae kimya?
Miezi 9. Hivi unadhani mimba ni sawa na mswaki kuwa unaweza uficha mfukoni?
Kumbuka alipata miscarriage mwaka jana june i guess..akaconceive nyingine...sasa angeanzaje kujinad ilhali hali yake anaijua...waja c mngeanza kumcheka...She was waiting on God
 
Hongera Millen


Kuna viumbe humu jf walikukashifu kuwa umetoa sana mimba...wakati tatizo la endometriosis ni changamoto sana kwa mwanamke

Mungu akukuzie
 
Hongera sana Millen, Mungu apewe sifa. Alishapangiwa kufanya operesheni ya kutolewa kizazi ×3,akakataa kusaini dakika za mwisho,wakati maandalizi yalishafanyika kwa ajili ya hiyo op. Imani yake imemponya
 
Kufanyiwa surgeries 13 possibility ya kuzaa huwa ni ndogo na hata hivo mambo ya kupata mtoto huwa ni baraka za Mungu. Kuna watu wazima lakini hao watoto hawawapati.

Acheni kujudge while you can't even fit in her shoes[emoji57] [emoji57]
my dia mie tangu nigundue kwamba rachel temu ndio kipaza sauti nimeamini kweli mtu wako wa karibu aweza kuwa snitch...so we achana naye tu huyo imagine mtu anaonesha chuki hivyo bila sababu kweli? .....
lazima ni mtu wake wa karibu amechukizwa na mafanikio ya millen sasa hawez kuonyesha haya hadharan, na pengine ameshampigia cm na kumpongeza..ila huku ndio anakuja kutoa ya moyoni
 
yaani Mungu ni mwema kwa kweli....kama ametenda kwake atatenda kwa wengine pia...ni kuomba na kuamini.
Kabisa

Na inashangaza sana pale mwanamke anapokuwa hajazaa anavyonyanyasika....

Tena wanawake wenzie ndio huwa mbelel mbele kama mfuko wa shati kumsimanga


Sitoshangaa na siku wema akizaa atakavyopongezwa na kila mtu na kila mtu kujifanya tulijua utapakata wa kwako


Wanawake sisi Mungu atusamehe tu kwa kweli
 
KAIRO MICHAEL MAGESE Hongera zake, though inaonekana hakumpata kwa njia za kawaida, looks kama IVF vile kutokana na jina kutokua la upande wa baba, its an expensive process with extra expertise

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera zake haswa....

Na haijalishi kama ilikuwa ni IVF au IUI

At the end of the day amepakata mwanae.......
 
Kumbuka alipata miscarriage mwaka jana june i guess..akaconceive nyingine...sasa angeanzaje kujinad ilhali hali yake anaijua...waja c mngeanza kumcheka...She was waiting on God
Hiyo mimba ilikuwa ya kupandikiza mjue, so it wasnt that easy .Céline Dion nae alipandikiza sana, embryo zinakufa, mwisho wa siku Mungu akamuona. Mke wa makonda nae asikate tamaa aendelee kupandikiza. Ipo siku nae atabeba mtoto.
 
hivi huyu ndio yuleyule aliyewahi kuwa miss? mbona sura imebadilika hadi nilidhani namwangalia mwanaume mwenzangu? dah, kuzaa adhabu aisee, tuwaheshimu wanawake. halafu sikujua kama ni mweusi kidogo. aliniudhi alipotamka kuwa yeye hatakuja kuzaa wakati Mungu yupo anaweza kumfanya azae...alinikera sana.
 
Back
Top Bottom