Mamamkwe
Senior Member
- Apr 8, 2011
- 128
- 57
We utakuwa na roho mbaya kama mchawi. Umeumia kweliKwanini alidanganya umma kuwa hawezi pata?
Watu walimuonea huruma kumbe alikuwa anadanganya....
Alitumia matatizo yake kuanzisha foundation kumbe mjanja anataka ale hela za watu