mwenyeKitu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 946
- 771
Chunga sana maneno yako, bora ukae kimya kuliko kuandika upumbavu wako
Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
Ni wachache watakaokuelewa lakini tulopitia hayo tunajua maumivu yakeHaya matatizo yana matibabu ya dawa za kienyeji ila wengi wanaamini kwenye wazungu...ila na yeye anasali sana atapata tu.
love thé love or hâte thé love.....
Swala si dk kuwa muongo...wao wanaongea wanachokiona na according to their research walizofanya na walizoona...lkn Mungu ndio mgawaji wa rizki akisema ndio ht uwe na Phd 1000 huwezi kumpinga...Hapana yeye aliambiwa na ma- daktari so walaumiwe wao....mara ngapi utasikia mgonjwa kaambiwa hivi kumbe ni uongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka alipata miscarriage mwaka jana june i guess..akaconceive nyingine...sasa angeanzaje kujinad ilhali hali yake anaijua...waja c mngeanza kumcheka...She was waiting on GodMtu ambae hajawahi zaa na watu wanajua kuwa hajazaa apate mimba akae kimya?
Miezi 9. Hivi unadhani mimba ni sawa na mswaki kuwa unaweza uficha mfukoni?
my dia mie tangu nigundue kwamba rachel temu ndio kipaza sauti nimeamini kweli mtu wako wa karibu aweza kuwa snitch...so we achana naye tu huyo imagine mtu anaonesha chuki hivyo bila sababu kweli? .....Kufanyiwa surgeries 13 possibility ya kuzaa huwa ni ndogo na hata hivo mambo ya kupata mtoto huwa ni baraka za Mungu. Kuna watu wazima lakini hao watoto hawawapati.
Acheni kujudge while you can't even fit in her shoes[emoji57] [emoji57]
Hongera Millen
Kuna viumbe humu jf walikukashifu kuwa umetoa sana mimba...wakati tatizo la endometriosis ni changamoto sana kwa mwanamke
Mungu akukuzie
Kabisayaani Mungu ni mwema kwa kweli....kama ametenda kwake atatenda kwa wengine pia...ni kuomba na kuamini.
Hongera zake haswa....KAIRO MICHAEL MAGESE Hongera zake, though inaonekana hakumpata kwa njia za kawaida, looks kama IVF vile kutokana na jina kutokua la upande wa baba, its an expensive process with extra expertise
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mimba ilikuwa ya kupandikiza mjue, so it wasnt that easy .Céline Dion nae alipandikiza sana, embryo zinakufa, mwisho wa siku Mungu akamuona. Mke wa makonda nae asikate tamaa aendelee kupandikiza. Ipo siku nae atabeba mtoto.Kumbuka alipata miscarriage mwaka jana june i guess..akaconceive nyingine...sasa angeanzaje kujinad ilhali hali yake anaijua...waja c mngeanza kumcheka...She was waiting on God