Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

Hiyo mimba ilikuwa ya kupandikiza mjue, so it wasnt that easy .Céline Dion nae alipandikiza sana, embryo zinakufa, mwisho wa siku Mungu akamuona. Mke wa makonda nae asikate tamaa aendelee kupandikiza. Ipo siku nae atabeba mtoto.
Huyo makondakta asipoacha unafiki ...asahau ..si mkewe alipandikizwa last year dec akafanikiwa kuwa na wa3 tumboni..at the end akapata cervical incompitance...
Mapigo mengine anayo pata ajitafakari na nafsi yake....
ila asikate tamaa
 
why mtoto kuitwa ubini wa magese

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Hongera sana basi ipo siku komando jide atapata mtoto Mungu mtazame mja wako.
 
Endometriosis si ndio huyu? Kumbe alikuwa anakutana na tubamia hatufiki kuleeee kuunganisha, kapata mkuyenge kakunwa kakojolewa zikatuama shaaa. Next time take care
Duh mkuu una maneno makali
 
Hakuna kubwa mbele ya Allah. nimefurahi kama vile ni ndugu yangu
 
Mungu amekosa waja!
Kuzaa ni adhabu aliyopewa mwanamke.
Utekelezaji wa adhabu hauambatani na sifa kwa mtoa adhabu.
Mkuu hiyo adhabu imeandikwa wapi? Ninaposoma mimi uzazi ni baraka ila uchungu wa wakati wa kuzaa ndio adhabu.

Vv
 
Waafrika bhana, kila mtu Mungu Mungu Mungu, kama huyo Mungu ndio kamtia mimba vile. Comments kama hizi huwezi kuziona hata kwa hao watu waliomleta Mungu Afrika

Hahaha nimejikuta nacheka kwa sauti, sio kwa shushu hilo
 
Waafrika bhana, kila mtu Mungu Mungu Mungu, kama huyo Mungu ndio kamtia mimba vile. Comments kama hizi huwezi kuziona hata kwa hao watu waliomleta Mungu Afrika

Hahaha nimejikuta nacheka kwa sauti, sio kwa shushu hilo
 
why mtoto kuitwa ubini wa magese

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Msome comments kidogo... mmeambiwa KAPANDIKIZA MBEGU sasa ulitaka amuite ubin wa docta???

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Happiest moment.. Congratulations...
 
Yap

Mungu kambarikia

Kupandikiza kuna changamoto sana

1. Kipesa
2. Emotions
3. All the injections
4. Egg retrivals
5. Time
6. Trip za hospitali
7. Pressures za kurutubisha mayai...za ku-fertilise mayai... hapo embryo hazijagoma....
8. Bado sio guarantee kuwa mimba ikishika itakuwa vyema...miscarriage nje nje

Wasikate tamaa
Hiyo mimba ilikuwa ya kupandikiza mjue, so it wasnt that easy .Céline Dion nae alipandikiza sana, embryo zinakufa, mwisho wa siku Mungu akamuona. Mke wa makonda nae asikate tamaa aendelee kupandikiza. Ipo siku nae atabeba mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…