We utakuwa na roho mbaya kama mchawi. Umeumia kweliKwanini alidanganya umma kuwa hawezi pata?
Watu walimuonea huruma kumbe alikuwa anadanganya....
Alitumia matatizo yake kuanzisha foundation kumbe mjanja anataka ale hela za watu
Haaaa haaaa..Daa Mange[emoji23] [emoji23]Daa Mange hivi Happy Magese amepata mtoto kweli au ame adopt?..Hd my Id please
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi kauli za fulani hazai msiwe mnazisikiliza hata kidogo. Nimeshuhudia wanawake kadhaa waliotuhumiwa hivyo wakizaa.Ma Dr walikua waongo waliposema hatozaa