The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome.
Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata kidogo. FIFA wanaposema siasa zijitenge na mpira huwa wana maana kubwa sasa.
Sasa uchawa wa kwenye mpira kuhadaa watu kipindi cha uchaguzi matokeo yake ndo haya sasa. Mnaotegemea mpira ili mle kam vi FM redios, wauza jezi NK kwisha habari yenu