The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
InasikitishaNadhani ni kwa sababu ya MO 29 kitendo cha vijana kuuawa wakiangalia boli kwenye kibanda umiza kule Mwanza kilishangaza na kusikitisha sana home bado hakujatulia kabisa watu wanalazimisha mpaka kwenda kutubu kwa Papa lakini wapi.
Haya naona una macho lakini huoniMbona kama sio kweli,
Mi mwenyewe Kuna wachezaji nawasikia tu Hawa kuwaona sijawahiTangu october 29, akili yangu imegoma kabisa kusikiliza nyimbo za bongo, mpira ndo kabisaaaa!! Yaani hadi najishangaa! Mechi ya kwanza aliyoicheza simba kwenye kundi lake mi hata sikujua!! Halafu naona ligi kama championship tu!! Yaani sina muda nayo!
Kwa sasa mpira na mziki havina mzuka wowoteTangu october 29, akili yangu imegoma kabisa kusikiliza nyimbo za bongo, mpira ndo kabisaaaa!! Yaani hadi najishangaa! Mechi ya kwanza aliyoicheza simba kwenye kundi lake mi hata sikujua!! Halafu naona ligi kama championship tu!! Yaani sina muda nayo!
Itakuwa moja ya Afcon ya hovyo Kuwahi kutokeaIkitokea miujiza hii serikali ikawepo mamlakani hadi mwakani basi kwa Tanzania yale mashindano ya Afcon hayatakuwa na mvuto wowote na itakuwa ni aibu kubwa sana kwa nchi hii.
Jina gani hilo??😛😛Itakuwa moja ya Afcon ya hovyo Kuwahi kutokea
Na walivyo hawatumii akili uwanja wa Arusha wanaenda kuita jina la mtu ambaye Hata watoto hawataki kulisikia jina hilo