Hata hvyo kuajiliwa ni utumwa,muda na bidii tunazotumia kwenye ajira kama tungefanya ya kwetu tungekua mbali sana.binafsi mi napiga chini kazi za watu kuanzia mwezi wa6Yaaan nikisoma comments za watu kuhusu fursa wanazoongelea uwa natamani niache kazi ya kuajiliwa kwa ghafla..
Wewe hiyo comment yako ni ya maana? Usijione we ndio zaid wkt na wewe ni yule yule poor comment; dittoKati ya wachangiaji wote hakuna wazo la maana hata moja maana yote ni mawazo mepesi yasiyokuwa na possibility ya kupata faida na kukua kwa biashara. This explains much why Tanzania is poor.
upo mkoa gani kiongozi?Mkuu biashara ya karanga inalipa sana huku mkoani, naitaji mtu wa kunikopesha ili niweze kufanya hii biashara. nikipata mtaji wa laki 5 inatosha sana.
Kaka natamani sana ningekuwa na ujasiri kama wako, ila kwasasa ngoja kwanza nijiwekee misingi imara then ntajiajili.. Malengo yangu miaka miwili ijayo ni kuachana na utumwa wa kuajiliwaHata hvyo kuajiliwa ni utumwa,muda na bidii tunazotumia kwenye ajira kama tungefanya ya kwetu tungekua mbali sana.binafsi mi napiga chini kazi za watu kuanzia mwezi wa6
Uko mkoa gani?Mkuu biashara ya karanga inalipa sana huku mkoani, naitaji mtu wa kunikopesha ili niweze kufanya hii biashara. nikipata mtaji wa laki 5 inatosha sana.
Nifahamishe kuhusu hiyo biashara Tafadhali, WhatsApp/sms/calls 0767659145Kuna Biashara Inahitaji Mtaji Wa Millioni Moja Tu Na Faida Utakayoipata Kila Unapotoka Pori Kuja Mjini Ni Laki Mbili Na Nusu Na Ndani Ya Mwezi Mmoja Unaweza Kwenda Mara Tatu Hadi Nne ...
Mkuu embu toa mwongozo na ufafanuzi zaidi mzuri wa soko hili la Ugoro huko Dubai tafadhali.tafuta paspot lagua ugoro unalipa
sana dubai copo ya lita tano ni $2500 sawa na pesa mingi sana yakitanzania so unasafiri kana kwamba we ni mganga wa jadi so matatizo mkuu
Nipo morogoro kwa sasa....nipm namba yako kwa maelezo zaid.upo mkoa gani kiongozi?
mchanganuo upoje turning yake unaweza kuweka tuangalie namna ya kuifanya.
upo mkoa gani kiongozi?
mchanganuo upoje turning yake unaweza kuweka tuangalie namna ya kuifanya.
ugoro huu huu wa kienyeji?tafuta paspot lagua ugoro unalipa
sana dubai copo ya lita tano ni $2500 sawa na pesa mingi sana yakitanzania so unasafiri kana kwamba we ni mganga wa jadi so matatizo mkuu
...Sawa Mkuu ...Nifahamishe kuhusu hiyo biashara Tafadhali, WhatsApp/sms/calls 0767659145
njoo whatsap +255758131424Mkuu embu toa mwongozo na ufafanuzi zaidi mzuri wa soko hili la Ugoro huko Dubai tafadhali.
Hahahaha,wewe lazima utakuwa mtata hata kwenye kulipaMkuu biashara ya karanga inalipa sana huku mkoani, naitaji mtu wa kunikopesha ili niweze kufanya hii biashara. nikipata mtaji wa laki 5 inatosha sana.
Hili ndio la msingi,Ila kwanza nimpe hongera sana na mungu akubariki mleta mada kwa kumsaidia dada yako,wengi sana hili hawaliwezi.HUYO MTOTO WAKIKE AFANYE BIASHARA INAYOENDANA NA JINSIA YAKE AU MUULIZE ANAPENDELEA KUFANYA KITU GANI?
Hili nalo neno mkuu,kuna watu wanapiga hela vijijini wanakuja mjini kutumia na kuzuga kwenye vibiashara vyao vidogodogoTatizo Watu Wengi Wameng'ang'ania Mjini Utazani Kijijini Ni Kuzimu ... Hiyo Millioni 7 Inatosha Kununua Magunia 150 Ya Mpunga Wakati Wa Msimu Wa Mavuno ... Ukiyahifadhi Baada Ya Miezi Kadhaa Ukija Kuyauza Haitaitwa Tena Millioni 7 Bali Itakuwa Imeongezeka ...