Million 7, mawazo ya biashara

Million 7, mawazo ya biashara

Yaaan nikisoma comments za watu kuhusu fursa wanazoongelea uwa natamani niache kazi ya kuajiliwa kwa ghafla..
Hata hvyo kuajiliwa ni utumwa,muda na bidii tunazotumia kwenye ajira kama tungefanya ya kwetu tungekua mbali sana.binafsi mi napiga chini kazi za watu kuanzia mwezi wa6
 
Kati ya wachangiaji wote hakuna wazo la maana hata moja maana yote ni mawazo mepesi yasiyokuwa na possibility ya kupata faida na kukua kwa biashara. This explains much why Tanzania is poor.
Wewe hiyo comment yako ni ya maana? Usijione we ndio zaid wkt na wewe ni yule yule poor comment; ditto
 
Ndg M7 ni pesa nyng kwa kuanzia,fuata yafuatayo;
1.Chunguza ni bidhaa zp hazpo sokoni au inapatikana kwa uchache eneo unaloishi
2.Baada ya kujua madhaifu ya soko tumia fursa hyo kua bora zaidi ya wanaofanya hyo biashara
3.Kama utaona kuna bidhaa hazpo kabisa,ztafute uzilete sokoni
4.Biashara ya kilimo na ununuaji wa mazao kpndi cha mavuno inalipa sn,unanunua na kuuza mazao;hii itakufanya uwe mtu wa shamba_town,ila km unataka ubaki mjn hutoiweza
5.Kua mvumilivu wa changamoto utakazo kutana nazo;UKIZINGATIA HAYA UTAIWEZA BIASHARA
 
Mkuu biashara ya karanga inalipa sana huku mkoani, naitaji mtu wa kunikopesha ili niweze kufanya hii biashara. nikipata mtaji wa laki 5 inatosha sana.
upo mkoa gani kiongozi?
mchanganuo upoje turning yake unaweza kuweka tuangalie namna ya kuifanya.
 
Hata hvyo kuajiliwa ni utumwa,muda na bidii tunazotumia kwenye ajira kama tungefanya ya kwetu tungekua mbali sana.binafsi mi napiga chini kazi za watu kuanzia mwezi wa6
Kaka natamani sana ningekuwa na ujasiri kama wako, ila kwasasa ngoja kwanza nijiwekee misingi imara then ntajiajili.. Malengo yangu miaka miwili ijayo ni kuachana na utumwa wa kuajiliwa
 
Kuna Biashara Inahitaji Mtaji Wa Millioni Moja Tu Na Faida Utakayoipata Kila Unapotoka Pori Kuja Mjini Ni Laki Mbili Na Nusu Na Ndani Ya Mwezi Mmoja Unaweza Kwenda Mara Tatu Hadi Nne ...
Nifahamishe kuhusu hiyo biashara Tafadhali, WhatsApp/sms/calls 0767659145
 
tafuta paspot lagua ugoro unalipa
sana dubai copo ya lita tano ni $2500 sawa na pesa mingi sana yakitanzania so unasafiri kana kwamba we ni mganga wa jadi so matatizo mkuu
 
tafuta paspot lagua ugoro unalipa
sana dubai copo ya lita tano ni $2500 sawa na pesa mingi sana yakitanzania so unasafiri kana kwamba we ni mganga wa jadi so matatizo mkuu
Mkuu embu toa mwongozo na ufafanuzi zaidi mzuri wa soko hili la Ugoro huko Dubai tafadhali.
 
tafuta paspot lagua ugoro unalipa
sana dubai copo ya lita tano ni $2500 sawa na pesa mingi sana yakitanzania so unasafiri kana kwamba we ni mganga wa jadi so matatizo mkuu
ugoro huu huu wa kienyeji?
 
Mfungulieee barbarshop awe anasimamiaaa....
Mtafutie location nzuri....
Tu...6million inatosha kabisa
 
Hata ukiwa na Million 500 kama biashara unayotaka kuifanya huijui vizuri usiifanye....
 
Mkuu biashara ya karanga inalipa sana huku mkoani, naitaji mtu wa kunikopesha ili niweze kufanya hii biashara. nikipata mtaji wa laki 5 inatosha sana.
Hahahaha,wewe lazima utakuwa mtata hata kwenye kulipa
Maana mleta uzi na maelezo yako haviendani kabisaa,au ndio stresses mkuu
 
HUYO MTOTO WAKIKE AFANYE BIASHARA INAYOENDANA NA JINSIA YAKE AU MUULIZE ANAPENDELEA KUFANYA KITU GANI?
Hili ndio la msingi,Ila kwanza nimpe hongera sana na mungu akubariki mleta mada kwa kumsaidia dada yako,wengi sana hili hawaliwezi.
Unajua watoto wa kike wengi ni wasiri sana,na kwa age hiyo ya 28yrs ni kwamba lazima atakuwa frustrated na maisha.
Maana mume hana,na maisha yanamzingua,so lazima umsimamie vizuri kwenye maamuzi.
Maana hapo utakuta kwamba ukimuuliza nikufanyie biashara gani,jibu lazima litakuwa,ahhh mie biashara yoyote tu nafanya.Ambapo sio kweli,ni kwamba ukimpa mtaji kwenye biashara asiyo na interest nayo ata atafail tu.

Kwanza tupe record yake kimaisha,na kama ni mdogo wako basi utajua tu kuna vitu gani katika ukuwaji wake alikuwa anavitependa,hobby ya mtu inaanzia utotoni.
Wanawake wengi ni wavumilivu saana wa changamoto za Biashara,ila cha msingi na cha kuzingatia ni kwamba lazima wazo hilo liendane na mazingira,binti wa kike ambae mtaji sio wake,kumpa biashara za kwenda mbali au mazingira hatarishi ni tatizo.Anaweza kufanya biashara za kutoa nje ya mkoa na kurudi,ila kwa malengo kwamba baada ya muda atakuwa sehem moja na biashara iwe tu ni ya kuagiza na kuletewa kisha unaenda tu kwa muda maalum.
 
Tatizo Watu Wengi Wameng'ang'ania Mjini Utazani Kijijini Ni Kuzimu ... Hiyo Millioni 7 Inatosha Kununua Magunia 150 Ya Mpunga Wakati Wa Msimu Wa Mavuno ... Ukiyahifadhi Baada Ya Miezi Kadhaa Ukija Kuyauza Haitaitwa Tena Millioni 7 Bali Itakuwa Imeongezeka ...
Hili nalo neno mkuu,kuna watu wanapiga hela vijijini wanakuja mjini kutumia na kuzuga kwenye vibiashara vyao vidogodogo
 
Back
Top Bottom