Millionaires btn Kenya and Tanzania

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Baada ya Kugoogle hizo takwimu zinatoka source gani hasa?

Ni creadible source au wewe umeangalia picha au wingi wa search results tu kutoka Google?

Tunaposema millionaires sio 1mil ya TZS ni 1,000,000USD ambayo ni sawa na 2,500,000,000 TZS.

Nina wasiwas na chanzo hasa cha hizo takwimu,ni nani hasa alietoka hizo numbers?Anaaminika au?

Kama zimetoka serikalini,piga chini!
 
Siyo serikali chali, ni Knight Frank hata sijui wanatoka wapi

The Wealth Report | Africa Supplement
 
Ni mabeberu wa uingereza


The Wealth Report | Africa Supplement
 
bill mbili za madafu,hata platnumz,laizer himself wanazo.

ni kahela kadogo sana japo sijakashika,ila nakubali kuna individual zaidi ya 5000 tz wanazo hizi.
 
I see....hawa nawajua,ni property managers...wamechukua bei ya ardhi!

Tanzania kuna ardhi tele,ila hela hakuna!

Tayari washafeli hapo
Ha ha ha wamechukua watu wanaomiliki usd 0.5mil wewe mbona unapindisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…