ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Wana bodi
Nilikuwa naiangalia nchi ya Rwanda, ukitafta tajiri wa Rwanda unaletewa matajiri wa ulimwengu akina Jeff na akina Gates.
Ndipo nikajaribu kwa Tanzania, aisee tuna matajiri hadi inakera. Taarifa za 2019, zinaonesha Tanzania ina milionea 5,600s wakati Kenya ikihangaika na 2,000s.
Pitia link hii
How many millionaires are there in Tanzania? - بحث Google
Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires
View attachment 1516002