Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Jaribu kuangalia pia uwezekano wa kufungua duka la nafaka za vyakula mbali mbali kaa vile mchele n.k. ambavyo unaagiza au unavifuata Dubai. Nimewahi kusikia hii nayo ina faida kubwa sana ila sina details.
Inategemea na sehemu ulipo:
(1)Binafsi ningekushauri ufungue duka la spare za pikipiki kwa mtaji huo almost utapata unit atleast kumi za vipuri mhimu kulingana na sehemu husika.
2) Jikite kwenye kilimo cha matikiti maji. Anza na ekari mbili kwa mtaji wa 2M. Ukitaka mchanganuo wa kilimo hiki nitakuelekeza hapahapa jukwaani.

mkuu Nafaka Dubai, italipa kweli hii?..kumbuka kuna mchele mwingi na mtamu sa unatoka hapa nchini tena kwa bei nzuri!!
Haiwezekani we utakuwa mzee wa rivasi :A S 11: Mchele from Dubai to TZ. mhh!!!Jaribu kuangalia pia uwezekano wa kufungua duka la nafaka za vyakula mbali mbali kaa vile mchele n.k. ambavyo unaagiza au unavifuata Dubai. Nimewahi kusikia hii nayo ina faida kubwa sana ila sina details.
Inategemea na sehemu ulipo:
(1)Binafsi ningekushauri ufungue duka la spare za pikipiki kwa mtaji huo almost utapata unit atleast kumi za vipuri mhimu kulingana na sehemu husika.
2) Jikite kwenye kilimo cha matikiti maji. Anza na ekari mbili kwa mtaji wa 2M. Ukitaka mchanganuo wa kilimo hiki nitakuelekeza hapahapa jukwaani.
Inategemea na sehemu ulipo:
(1)Binafsi ningekushauri ufungue duka la spare za pikipiki kwa mtaji huo almost utapata unit atleast kumi za vipuri mhimu kulingana na sehemu husika.
2) Jikite kwenye kilimo cha matikiti maji. Anza na ekari mbili kwa mtaji wa 2M. Ukitaka mchanganuo wa kilimo hiki nitakuelekeza hapahapa jukwaani.
kwenye biashara inawezekana mkuu. Haujaona kuna sukari,cement kuku nk vinatoka nje na vinauzwa hapa kwa bei poa zaidi!. Kuna jamaa yangu anachukua bia za Heineken South Africa analeta hapa tz na kuuza jumlajumla. Amesema pamoja na kulipia kodi zote bado anabaki na faida nzuri.mkuu Nafaka Dubai, italipa kweli hii?..kumbuka kuna mchele mwingi na mtamu sa unatoka hapa nchini tena kwa bei nzuri!!
Waliokuwa wanazungumza hili nami nikiwepo walidai bei ya kule ni poa ukilinganisha na bei za nchini pamoja gharama za usafirishaji faida ni ya kutosha tu.
nafaka mbalimbali kama mchele afuate Dubai au mi sijakuelewa?
Inategemea na sehemu ulipo:
(1)Binafsi ningekushauri ufungue duka la spare za pikipiki kwa mtaji huo almost utapata unit atleast kumi za vipuri mhimu kulingana na sehemu husika.
2) Jikite kwenye kilimo cha matikiti maji. Anza na ekari mbili kwa mtaji wa 2M. Ukitaka mchanganuo wa kilimo hiki nitakuelekeza hapahapa jukwaani.
Cjui upo wapi ndugu but tafiti bajaji kwa ulipo inauzwaje fany cost and benefit analysis kwa hela yako inaweza tosha ukipewa elfu 90 kwa wiki ci haba mkuu ni hayo tu kwa uzoefu wangu
Jaribu kuangalia pia uwezekano wa kufungua duka la nafaka za vyakula mbali mbali kaa vile mchele n.k. ambavyo unaagiza au unavifuata Dubai. Nimewahi kusikia hii nayo ina faida kubwa sana ila sina details.
Nashukuru. Biashara za vyombo vya usafiri zimenishinda ndugu yangu, nilikuwa na pick up ilileta faida kwa muda baadaye madereva wakaanza kuleta pesa ndogo na hicho kiduchu nilichopata kiliishia garage. Wewe kwa experience yako unadhani Bajaji itakuwa tofauti?
mkuu mkura...hiyo yakuhifadhi mazao na kuuza baadae itamliza mwenzio , kwanza atatumia mda kuhifadhi hela bila kuzalisha vilevle serikali haitabiliki ktk biashara ya mazao!!