Millioni 5 ninaweza kufanya biashara ipi?

Millioni 5 ninaweza kufanya biashara ipi?

Mkuu nami nina ekari zangu za shamba mkuranga ila nahitaji mtu wa kunielekeza kilimo hiki mpaka napanda ....
Nahitaji mtu anaeelewa kilimo hiki na mwenye uwezo wa kulima kilimo cha biashara...
Malipo kwa maelewano kama upo tayari pm me...
 
fwatilia kilimo cha vitunguu maji wekeza milion 4 milioni moja ihifadhi na baada ya miezi mitatu utakuja kuniambia faida ulioipata kutokana na kilimo
 
Back
Top Bottom