Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

Miaka ya Nyuma miaka gani hiyo maana makonda ni wa mwaka 80
Dah! Itachukua muda sana weye kuelewa atii! Hapo kwenu aliyezaliwa 80' ni mzee wa ukoo wenu? [emoji120] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Duuuuu kama hii ni kweli huyu jamaa alikuwa KILAZA hasa.... Any way maisha siyo lazima uende Shule .. yanaweza kukunyokea hata ukiwa kilaza kama huyu Daudi Bashite
 
VIPI CV YA KIELIMU YA MWENYEKITI FREEMAN MBOWE AU BWANA GASTURA NAE VIPI AJIUZULU UENYEKITI AU MNAMSHAURIJE??
Mbowe hajadanganya yeye na elimu yake ya form 4 inamtosha hilo linajulikana, kifupi hajagushi cheti ambalo ni kosa la jinai, hapa ni suala la uadilifu ndio linasumbua hii mada
 
Inakuaje pawepo na shinikizo kubwa ajiuzulu kipindi hiki mara tu baada ya kuuwasha ule moto? Hoja hii ingekuwa na mantiki kama ingekuja kipindi kile alipoteuliwa kuwa mkuu wa walaya.Inamaana standing order zilizootumika katika uteuzi zinatofautiana? Kwa nini hii ishu i trend sana kipindi hiki na ni specific kwa makonda tu ?
 
Tuliaminishwa kuwa Vyeti vya waheshimiwa vilikuwa vya kwanza kuhakikiwa.
Na tukaambiwa wako safi
 
shikilia hapohapo
hatutaki maneno tunataka vyeti tehe tehe tehe
ole wao NECTA wachakachue
 
Mbona jambo lipo wazi kama hatumii vyeti vya mtu mwingine aonyeshe CV zake .
tunaomba uikanushe na uweke CV yako ya kweli ili kuweka heshima yako na nafasi yako, na ili sisi wakazi wako wa Dar es Salaam tuwe na imani na wewe bosi wetu. La sivyo kama ni kweli chukua uamuzi mgumu wa kujiuzulu nafasi yako ya ukuu wa mkoa.
 
Swala ni kwann anatumia cheti kisicho chake?
 
Kama Makonda alifanya ulaghai kwenye elimu awajibishwe haraka, kwenye watumishi hewa na wale wasiyo na sifa mkuu wetu wa nchi alikuwa mkali na kuna kuna wengine wamevuna magonjwa ya moyo baada ya ajiria zao kusitishwa, hivyo basi na kwa RC wa Dar asipepese macho kama hii tuhuma ni za kweli.
 
Ukiua kwa upanga utauawa kwa upanga. Makonda anavuna alichopanda. Malipo ya wote aliowaharibia kazi na maisha yao.
Hakuna jiwe litasimama.
 
wewe kufoji unaweza? kubebwa unaweza kumhadaa nani akakubeba?
Kwanni nishindwe??? Kwani sina capacity ya rasilimali watu na pesa ya kuniwezesha kufanya ivo??? Ila sina haja ya kufoji..... mimi pia nlianguka form 4 ila nlirudia upya na leo hii nmemaliza masters katika umri huu mdogo ila sikuwahi foji cheti na sitowahi maana naamini katika HARDWORK and PERSISTENCE na ENDURANCE ssa mtu kma makonda hana uvumilivu na subira anakimbilia mafanikio ya haraka kwa kufoji vyeti ndo unataka kumsifia??

Kubebwa?? Nibebwe kwa ajili gani?? Sihitaji kubebwa mmi ingawa uwezo huo nlikuwa nao ila nliamini maisha ''NI JINSI UNAVYOAMUA KUYAISHI NDIO ITAAMUA KMA UTAYAWEZA/KUYASHINDWA'' so nmefanya hardwork binafsi nmefight sana na nmefika nlipofika kwa kubebwa na Mungu pekee maana hta vitabu vya wenzetu wakristo wanasema AMELAANIWA YULE AMTEGEMEAE MWANADAMU. So kma wwe unaona kubebwa ni ujanja its up to u
 
Ni wakati mwafaka kwake kujipima
 
Haaaa,ndio maana suala la uhakiki wa vyeti halizungumzwi tena! naye awajibike
Kuna mwingine nae aliambiwa athibitishe phd yake....... wakamficha aliyeanzisha mjadala, hadi leo hajulikani alipo....
 
Weka na wee CV yko alafu tuangalie kati ya wew mwenye CV nzr ya darasani huyu Makonda unayemjua vzr mwenye CV mbovu darasani alafu tuwapime nyie wawili ni nani kati yenu nyie wawili amelisaidia Taifa hili,, kutokana na hizo CV zenu nzr na mbaya.

Kuna faida gani kuwa na Vyeti vzr lakini unaacha vijana wenzako wanaharibika kwa Madawa ya kulevya?

Je huoni faida ya kuwa na MTU kama Makonda japo CV yke hailingani na yko darasani lakini kathubutu kuokoa vijana wa Taifa hili mliotaka kuwaangamiza kwa UNGA wenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…