Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

Kwa uandishi wako hutofautiani na unayemtetea. Waliofeli miaka ya nyuma hata ukiwa na 35 ulikuwa unapata cheti je unajua hilo?
Miaka ya Nyuma miaka gani hiyo maana makonda ni wa mwaka 80
 
Huyu mleta mada ni zwazwa kabisa,hujui kama miaka ya nyuma alikua ni haki ya watu wote kupata vyeti regardless of your division!?acha uzwazwa!?
Miaka ya Nyuma ipi iyo? Kuanzia mwaka gani?
 
NASEMA HIVI ISIJE IKATOKEA MKANIONA MIMI MNOKO AU NINA ROHO MBAYA HUMU JF...SITAKI NA NASEMA SITAKI KUSIKIA MAMBO YA AS.GWAJIMA HUMU KWA SABABU YULE NI MTUMISHI WA MUNGU SASA NYIE KAMA HAMNA YA KUJADILI NI BORA MKALALE AU MKANUNUE MAHARAGWE YA MBEYA MLE...ONGEENI YOTE LAKINI HAYA NASEMA NIMEKATAA NA NITAMCHUKULIA MTU YEYOTE SHERIA BILA KUJALI CHEO CHAKE WALA ALIKUWA NANI ..NIMEMALIZA SASA NOLE NIKUTE MTU ALIYETAJA HILO JINA HUMU
 
Ndo matatizo ya JF kutokuweka mipaka ya umri wa kujiunga humu. Wewe mleta mada usichokijua ni kwamba miaka ya nyuma watu walipata vyeti mpaka waliokuwa na negative ( Kama ipo). Na hii sheria ya kuwanyima watu vyeti waliopata zero ni ya juzi tu. Uliza Wazazi wako Kabla ya kubandika upuuzi wako hapa.
Acha uongo mtu mzima wewe na sio lazima u comment, ni bora usome post then upite tu,

Nimemaliza miaka hiyo aliyomaliza Makonda na wanafunzi waliopata div 0 hawakuwa wanapewa cheti labda miaka hii ndio wapewe..
 
Hakuna cheti chenye div 0 gwajima ahubr watu na sio kupotosha waumin unajua watu tumekosa dira mpaka tunafungua makanisa ambayo hayana maadili yoyote ya kimungu kama ww ni muchungaji hubri watu na kama ww ni mwanasiasa Fanya siasa sa hata kama makonda alipata zero kwani rais anataka MTU mwenye div 1 ndo awe mkuu wa mkoa? Hata kama alipata zero ilimradi anachet anatakiwa kuwa mkuu wa mkoa kwan chet hakiongozi watu Bali MTU ndo anaongoza watu
 
Hivi wewe mzima kweli??? Watu walikuwa hawana shida navyo na wakivipata wanavitupa.... Utapaleka wap tigo???? Ndo maana unasema walikuwa hawavipati. Niko jikoni huku.
 
VIPI CV YA KIELIMU YA MWENYEKITI FREEMAN MBOWE AU BWANA GASTURA NAE VIPI AJIUZULU UENYEKITI AU MNAMSHAURIJE??
 
Ndo matatizo ya JF kutokuweka mipaka ya umri wa kujiunga humu. Wewe mleta mada usichokijua ni kwamba miaka ya nyuma watu walipata vyeti mpaka waliokuwa na negative ( Kama ipo). Na hii sheria ya kuwanyima watu vyeti waliopata zero ni ya juzi tu. Uliza Wazazi wako Kabla ya kubandika upuuzi wako hapa.
Umempa Jibu Mubashara watoto wa mjini wanaita
 
Hakuna cheti chenye div 0 gwajima ahubr watu na sio kupotosha waumin unajua watu tumekosa dira mpaka tunafungua makanisa ambayo hayana maadili yoyote ya kimungu kama ww ni muchungaji hubri watu na kama ww ni mwanasiasa Fanya siasa sa hata kama makonda alipata zero kwani rais anataka MTU mwenye div 1 ndo awe mkuu wa mkoa? Hata kama alipata zero ilimradi anachet anatakiwa kuwa mkuu wa mkoa kwan chet hakiongozi watu Bali MTU ndo anaongoza watu

Wakati wa nyuma division 4 ni sawasawa na ziro maana huwezi kwenda mahali. Wewe unayo 4 ya 35+ unategemea nini?
 
Hebu ajuaye cv ya aliyekuwa naibu waziri qa kazi atujuze maana naye ni ya kuunga unga nashangaa anajishebedua kumkwaza mako. Hata udaktari wake wa falsafa ulisimikwa na fisiem leo kawasaliti kwa kutopata nafasi ta kugombea ubunge kuoitia fisiem.

huyu jamma sijui mahanga na muona bonge la gharasha hivi huyu si alituhumiwa kuwa na vyeti feki vya phd yake vip alishaawahi kulitolea maelezo japo kidogo
 
Hakuna cheti chenye div 0 gwajima ahubr watu na sio kupotosha waumin unajua watu tumekosa dira mpaka tunafungua makanisa ambayo hayana maadili yoyote ya kimungu kama ww ni muchungaji hubri watu na kama ww ni mwanasiasa Fanya siasa sa hata kama makonda alipata zero kwani rais anataka MTU mwenye div 1 ndo awe mkuu wa mkoa? Hata kama alipata zero ilimradi anachet anatakiwa kuwa mkuu wa mkoa kwan chet hakiongozi watu Bali MTU ndo anaongoza watu
Kama cheti hakiongozi watu inakuaje kwa watendaji wengine walio ondolewa makazini japo walikua wanafanya kazi kwa ufanisi?? Usimtetee Daudi basi kama ni hivo wote walio achishwa kazi kwaajili ya vyeti waludishwe makazini ?
 
Kwani chet ndo uongozi www tumia akili na ww .kwan kuna sheria IPI inayomtaka MTU kuwa na level fulan ya elimu ndo awe RC jaman tumien akili mm cijasikia sehemu yoyote ya katiba kama MTU alipata o asiwe mkuu wa mkoa ,haya ww mwezetu si unadivision 1 tuambie ni raised wa nchi gani au ww ni mkuu wa mkoa gan?
 
Uzuri muda wake wa kucheza unafika wakati muziki upo kwenye kibwagizo.

Lazima aume meno kwa raha anayosikia.

Sawa ila bado hujamsaidia Daudi Bashite, alishasema hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe ni zamu yake now acheze mziki aliouanzisha
 
Back
Top Bottom