Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

Hoja hapa Sio Daudi Kupata Sifuri, Mbona hata Ole Sendeka anayo Sifuri Safi kabisa lakini pia ni RC? Hoja hapa ni "Kiongozi" Kuiba Cheti
 
Una support kugushi vyeti??
 
Dua za mashekh zitamsaidia kusafisha cheti,Dah kweli mimi na mkuu wangu wa mkoa kumbe hata mie nimemzidi,
 
MMESAHAU HIKI CHEO NI CHA KISIASA? DARASA LA SABA UK7HITIMU PIA WAWEZA KUKIPATA KAMA UNA UWEZO WA UONGOZI IKIWA PIA KUWA KADA WA CHAMA ILI KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA SERA. UK7SHAJ7A KUANDIKA NA KUSOMA KISWAHILI NA KIINGEREZA KIDGO YATOSHA ILI MRADI UJUE KUWATUMIA WATAALAMU WALIO CHINI YAKO.
 
Mwenyekiti wa CDM vipi? Mnatuchanganya mjue!
 
Hoja hapa Sio Daudi Kupata Sifuri, Mbona hata Ole Sendeka anayo Sifuri Safi kabisa lakini pia ni RC? Hoja hapa ni "Kiongozi" Kuiba Cheti
 
Hii habari yoote baada ya kusoma kipengele cha 6 nimegundua ni ya uongo na imetengenezwa na Gwajima. PAMBA NI SHULE YA SERIKALI watu wa MWANZA wanajua hilo iweje watudanganye kuwa PAMBA ni PRIVATE? Waongo wakubwa ninyi na huyo mchungaji wenu
 
Mkuu wa mkoa DSM ni Daud Albert Bashite au Paul C Makonda? Au ni wote

Awe tu open kuwa na degree au std 7 si kigezo cha kuwa mkuu wa mkoa, lakini kama anatumia cheti cha mtu hilo ni kosa kisheria japo haihusiani directly na ukuu wake wa mkoa.
Ushahidi uko wapi? Ikithibitika mahakamni unaweza ukasema. kwanini uhukumu kwa maneno ya gwajima kwani gwajima ni nani katika sheria ya tanzania kuwa akisema kitu ni kweli?
 
Ushahidi uko wapi? Ikithibitika mahakamni unaweza ukasema. kwanini uhukumu kwa maneno ya gwajima kwani gwajima ni nani katika sheria ya tanzania kuwa akisema kitu ni kweli?
Wewe ni masogange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…