Clouds wana upendeleo Leo hata kwenye kipindi cha magazeti wameligusa kidogo wakalipotezeaWanamajibu yao mepesi sana, wanasema eti ni mambo ya mtandaoni, mara wanaomchafua ni wauza madawa ya kulevywa.
Hahahaaaaa, hapa hata wale wafunga kamba zake za viatu Clouds hawaliongelei hili, wala hawampigii simu mubashara atoe maelezo.
Sipati picha kama angekuwa mh. Mbowe ndiyo kanunua cheti, mikutano na waandishi wa habari ingekuwa imefanyika kama 6 mpaka sasa.
<<Mungu wa mbinguni hafanyiwi usanii>>.
Wanajaribu kumstahi boss wa mkoa maana kama ni kweli kavuliwa nguo.