Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

Clouds wana upendeleo Leo hata kwenye kipindi cha magazeti wameligusa kidogo wakalipotezea
Wanajaribu kumstahi boss wa mkoa maana kama ni kweli kavuliwa nguo.
 
darasa la nne alifeli akahamia mjin ili asome tution, duh!? nakumbuka mwaka wetu darasa la nne alifeli mmoja tu (mwaka 1997). kama hii taarifa ni ya kweli, basi acha tu tununue sembe hata 3000 kwa kilo.
 
Hebu ajuaye cv ya aliyekuwa naibu waziri qa kazi atujuze maana naye ni ya kuunga unga nashangaa anajishebedua kumkwaza mako. Hata udaktari wake wa falsafa ulisimikwa na fisiem leo kawasaliti kwa kutopata nafasi ta kugombea ubunge kuoitia fisiem.

Lete jina
 
Tumeambiwa kama umemzidi boss wako elimu inatakiwa boss wako akusalimie kwa kukupa shikamoo kila siku
 
Mdomo bana aaah unasababisha vitu vinaitwa kama mbwai mbwai tu sijui kwa nini
 
SUA walibana koromeo aisee....waliokuwa wanafanya admission kipindi hicho walikuwa hawapepesi macho lohh!
 
Ni ujinga kuamini kwamba Rc Makonda alifeli darasa la 7 mwaka 1996 na mwaka 1997 eti akajiunga form kidato cha kwanza Pamba Sekondary shule ya Serikali. !!!!! Duh....Uongo kweupeeee, Kujiunga kidato cha kwanza sekondary ya Serikali LAZIMA uwe umefaulu na ndiyo maana TSM9 hutakiwa Shuleni unakojiunga. Sasa yeye aliipataje wakati alifeli.?? UONGO MKUBWA.
 
Jmnnn mkiona kimya mpka huu ni inasukwa CV mpya the inaingizwa kwenye system af badae jamaaa anakuja nayo kwa waandishi..............hahahahahahha...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…