Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
Miaka ya Nyuma miaka gani hiyo maana makonda ni wa mwaka 80Kwa uandishi wako hutofautiani na unayemtetea. Waliofeli miaka ya nyuma hata ukiwa na 35 ulikuwa unapata cheti je unajua hilo?
Miaka ya Nyuma ipi iyo? Kuanzia mwaka gani?Huyu mleta mada ni zwazwa kabisa,hujui kama miaka ya nyuma alikua ni haki ya watu wote kupata vyeti regardless of your division!?acha uzwazwa!?
Acha uongo mtu mzima wewe na sio lazima u comment, ni bora usome post then upite tu,Ndo matatizo ya JF kutokuweka mipaka ya umri wa kujiunga humu. Wewe mleta mada usichokijua ni kwamba miaka ya nyuma watu walipata vyeti mpaka waliokuwa na negative ( Kama ipo). Na hii sheria ya kuwanyima watu vyeti waliopata zero ni ya juzi tu. Uliza Wazazi wako Kabla ya kubandika upuuzi wako hapa.
Bashite naona unapima upepo!Baadhi ya sifa za kuwa mtumishi wa Mungu.
-Kuwa na busara.
-Weka hakiba ya Maneno.
-Usiwe mropokaji.
-Usiumie madhabahu kwa mambo binafsi.
Du!. Makonda kamaliza lini o- level? Necta imeanza kuzuia mwaka gani kutokutoa vyeti vya waliofeli? Hili ni tatizo la kuzaliwa kipindi cha dotcomMiaka ya Nyuma miaka gani hiyo maana makonda ni wa mwaka 80
Hivi wewe mzima kweli??? Watu walikuwa hawana shida navyo na wakivipata wanavitupa.... Utapaleka wap tigo???? Ndo maana unasema walikuwa hawavipati. Niko jikoni huku.Acha uongo mtu mzima wewe na sio lazima u comment, ni bora usome post then upite tu,
Nimemaliza miaka hiyo aliyomaliza Makonda na wanafunzi waliopata div 0 hawakuwa wanapewa cheti labda miaka hii ndio wapewe..
Umempa Jibu Mubashara watoto wa mjini wanaitaNdo matatizo ya JF kutokuweka mipaka ya umri wa kujiunga humu. Wewe mleta mada usichokijua ni kwamba miaka ya nyuma watu walipata vyeti mpaka waliokuwa na negative ( Kama ipo). Na hii sheria ya kuwanyima watu vyeti waliopata zero ni ya juzi tu. Uliza Wazazi wako Kabla ya kubandika upuuzi wako hapa.
Hakuna cheti chenye div 0 gwajima ahubr watu na sio kupotosha waumin unajua watu tumekosa dira mpaka tunafungua makanisa ambayo hayana maadili yoyote ya kimungu kama ww ni muchungaji hubri watu na kama ww ni mwanasiasa Fanya siasa sa hata kama makonda alipata zero kwani rais anataka MTU mwenye div 1 ndo awe mkuu wa mkoa? Hata kama alipata zero ilimradi anachet anatakiwa kuwa mkuu wa mkoa kwan chet hakiongozi watu Bali MTU ndo anaongoza watu
Hebu ajuaye cv ya aliyekuwa naibu waziri qa kazi atujuze maana naye ni ya kuunga unga nashangaa anajishebedua kumkwaza mako. Hata udaktari wake wa falsafa ulisimikwa na fisiem leo kawasaliti kwa kutopata nafasi ta kugombea ubunge kuoitia fisiem.
Kama cheti hakiongozi watu inakuaje kwa watendaji wengine walio ondolewa makazini japo walikua wanafanya kazi kwa ufanisi?? Usimtetee Daudi basi kama ni hivo wote walio achishwa kazi kwaajili ya vyeti waludishwe makazini ?Hakuna cheti chenye div 0 gwajima ahubr watu na sio kupotosha waumin unajua watu tumekosa dira mpaka tunafungua makanisa ambayo hayana maadili yoyote ya kimungu kama ww ni muchungaji hubri watu na kama ww ni mwanasiasa Fanya siasa sa hata kama makonda alipata zero kwani rais anataka MTU mwenye div 1 ndo awe mkuu wa mkoa? Hata kama alipata zero ilimradi anachet anatakiwa kuwa mkuu wa mkoa kwan chet hakiongozi watu Bali MTU ndo anaongoza watu
Sawa ila bado hujamsaidia Daudi Bashite, alishasema hakuna jiwe litakalosalia juu ya jiwe ni zamu yake now acheze mziki aliouanzisha