inategemea na ukubwa wa nyumba yako na ubora unao utaka lakin yafaa pia kuezekea
Hiyo ilikuwa zamani, mti unakomaa unakaribia kuwa kama chuma!! Kwa sasa utaipata wapi!! Miti ya aina hiyo??Miaka ya nyuma zile kota za NHC Magomeni na kwingineko waliezekea milunda (mikoko), hata nyumba nyingi za zamani Tanga walikuwa waliezekea milunda.
Minazi hapana jembe si mizuriBora utafute minazi uchane mbao
Nina uharaka mkuu nimechoka kulipa pesa ya pangomkuu inafaa ila hali imekuwa ngumu kiasi hicho mpaka kwenye nyumba yako mwneyewe ?
Shukrani sana mkuu nami nipo around maeneo ya BagamoyoBagamoyo hapo nyumba kibao na za kisasa wanaezekea mirunda na fresh tu.
Muhimu nunua ile mirefu wanayotumiaga kuezekea bar za makuti mmoja huwa 5000- 8000.
Hata yangu nina mpango huo.
Ukishaezeka nani anajua kuna milunda ndani?
Huwa inaonekana Mkuu.Ukishaezeka nani anajua kuna milunda ndani?
Wewe unajengea watu nyumba au ni kwaajili yako? Au unajenga uuze??Ukishaezeka nani anajua kuna milunda ndani?
Ukishafunga gypsum na pvc huko nje nani anaona. Na hata ikionekanana kuna tatizo kwani?
Mchwa utakapoanza kutafuna hiyo mirunda, ndio hao watu watajua!! Acha ajifiche tu, ila yeye mwenyewe ndio atawaambia hao watu.Ukishaezeka nani anajua kuna milunda ndani?