juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
Tumechoka sasa!Mlituambia tumeanza kama minyoo,cha ajabu hadi leo minyoo ipo na haibadiliki,tukakaa kimya.Mkasema tulikuwa Sokwe,hadi leo Sokwe wanazaa Sokwe na bin Adam anazaa bin Adam,tukawavumilia.Mkasema tunaharibu mazingira ya dunia na kuvuruga hali ya hewa kwa kuzalisha greenhouse gases,mkatubana na masheria kibao,wakati ukweli ni kwamba solar activity ndio huleta climate changes,wala sio man made activity,tukawaonea aibu.Sasa mnakuja na siasa zenu za feminism,na kusema wote tu wanawake by nature.
Mie nasema hivi,wanasayansi hawa wanaoleta theory hizi, na mashabiki wao wanaoamini haya,ubongo wao bado ni wa minyoo.Si munasema tulikuwa minyoo?basi nyie hamja-evolve bado.Mko steji za mwanzoni kabisa.Ubongo wenu bado wa minyoo,akili zenu za Sokwe,jinsia zenu nanihii,na munatuharibia mazingira duniani kwa kupandikiza watu imani na tabia zisizo za kibinadamu,zinazowafanya wawe hostile na kuleta chaos wanamoishi.
Unapomwambia mtu alikuwa mnyoo na sokwe,akaamini hivyo,usitegemee tabia za kibinadamu toka kwake.
Unapomwambia mtu,kuwa mti ni bora kuliko yeye,usitegemee kuwa unatengeneza mtunzaji mti,bali mharibifu wa mti.
Unapomwambia mtoto wa kiume eti mwanzo alikuwa mwanamke,jua kwamba deep down his brain atajihesabu jike-dume.
Poisonous teachings.Mmeijaza dunia na mafundisho ya kibabeli.
Watz wenzangu achaneni na upuuzi huu.
Kwanza hiyo sayansi yenyewe wanaipindisha for the sake of politics.
Politiki politiki politiki kila kona!
Tumechoka na matusi.!