Mimba ikianza Binadamu wote huanza na Jinsia ya Kike

Mimba ikianza Binadamu wote huanza na Jinsia ya Kike

Tumechoka sasa!Mlituambia tumeanza kama minyoo,cha ajabu hadi leo minyoo ipo na haibadiliki,tukakaa kimya.Mkasema tulikuwa Sokwe,hadi leo Sokwe wanazaa Sokwe na bin Adam anazaa bin Adam,tukawavumilia.Mkasema tunaharibu mazingira ya dunia na kuvuruga hali ya hewa kwa kuzalisha greenhouse gases,mkatubana na masheria kibao,wakati ukweli ni kwamba solar activity ndio huleta climate changes,wala sio man made activity,tukawaonea aibu.Sasa mnakuja na siasa zenu za feminism,na kusema wote tu wanawake by nature.

Mie nasema hivi,wanasayansi hawa wanaoleta theory hizi, na mashabiki wao wanaoamini haya,ubongo wao bado ni wa minyoo.Si munasema tulikuwa minyoo?basi nyie hamja-evolve bado.Mko steji za mwanzoni kabisa.Ubongo wenu bado wa minyoo,akili zenu za Sokwe,jinsia zenu nanihii,na munatuharibia mazingira duniani kwa kupandikiza watu imani na tabia zisizo za kibinadamu,zinazowafanya wawe hostile na kuleta chaos wanamoishi.

Unapomwambia mtu alikuwa mnyoo na sokwe,akaamini hivyo,usitegemee tabia za kibinadamu toka kwake.

Unapomwambia mtu,kuwa mti ni bora kuliko yeye,usitegemee kuwa unatengeneza mtunzaji mti,bali mharibifu wa mti.

Unapomwambia mtoto wa kiume eti mwanzo alikuwa mwanamke,jua kwamba deep down his brain atajihesabu jike-dume.

Poisonous teachings.Mmeijaza dunia na mafundisho ya kibabeli.

Watz wenzangu achaneni na upuuzi huu.

Kwanza hiyo sayansi yenyewe wanaipindisha for the sake of politics.

Politiki politiki politiki kila kona!

Tumechoka na matusi.!
 
Chuchu za mwanaume au chuchu kwa mwanaume zina kazi gani???
 
Kinachowasumbua hapa ni mfumo dume na wala siyo 'theory' yenyewe. Watu wanahisi wamedhalilishwa kwa kuambiwa wameanzia na papuchi. Lakini ukweli ndivyo ulivyo. Ingesemwa kwamba wote huanzia na 'male form' wala kusingekuwa na kadhia yote hii. Kwahiyo hapa swala si sayansi au dhana yenyewe. Tatizo ni jinsi tunavyofikiri. Na sina neno jingine zaidi ya kuuita huu ni umburula tu. Tuna safari ndefu sana kuhusu swala zima la jinsi ya kufikiri.
 
Alaaaaaaa,hapa umenipa Jibu.
Nilitaka kujiuliza hivi MASHOGA chanzo chake nini?
Kumbe wakati wa kubadilika wengine wanabadilika viungo tu Hormones,Genes na Cadet zinagoma kurudi ndio wanakuwa mashoga.
Aisee hii kali.
 
Hivi wewe kweli unafikiri kwa kutumia kichwa au unatumia makalio? Dah! Sasa hapo kwe underlined umeamdika nini?
Nahisi mamako alikuzaa kinyume na maumbile ndo maana hueleweki

We ongea upuuzi wote ila yaonesha Shuleni mwalimu alipokuwa anafundisha ulikuwa huelewi kitu... Binadamu ni Mnyama na anao mkia wake ila ni mfupi nenda kamuombe msamaha mwalimu wako kuwa ulikuwa mtoro hivyo siku za kufundishwa ulikuwa unapitwa....

Fact ni Kuwa Mamalia wote huwa na mikia

The coccyx, or tailbone, is the remnant of a lost tail. All mammals have a tail at one point in their development; in humans, it is present for a period of 4 weeks, during stages 14 to 22 of human embryogenesis.[SUP][14][/SUP] This tail is most prominent in human embryos 31–35 days old.[SUP][15][/SUP] The tailbone, located at the end of the spine, has lost its original function in assisting balance and mobility, though it still serves some secondary functions, such as being an attachment point for muscles, which explains why it has not degraded further.
In rare cases congenital defect results in a short tail-like structure being present at birth. Twenty-three cases of human babies born with such a structure have been reported in the medical literature since 1884.[SUP][16][/SUP][SUP][17]

[/SUP]
The human vermiform appendix on the vestigial caecum

Kidole Tumbo!
 
Last edited by a moderator:
thibitisha kauli yako kwa vitendo aiseee sitaki tena source, naomba uonyeshe nione mkuu
 
hata kama ni kweli lakini jamaa hii habari imekuwa kama ni tusi kwetu wanaume mkuu itafutie nguo
 
Tumechoka sasa!Mlituambia tumeanza kama minyoo,cha ajabu hadi leo minyoo ipo na haibadiliki,tukakaa kimya.Mkasema tulikuwa Sokwe,hadi leo Sokwe wanazaa Sokwe na bin Adam anazaa bin Adam,tukawavumilia.Mkasema tunaharibu mazingira ya dunia na kuvuruga hali ya hewa kwa kuzalisha greenhouse gases,mkatubana na masheria kibao,wakati ukweli ni kwamba solar activity ndio huleta climate changes,wala sio man made activity,tukawaonea aibu.Sasa mnakuja na siasa zenu za feminism,na kusema wote tu wanawake by nature.

Mie nasema hivi,wanasayansi hawa wanaoleta theory hizi, na mashabiki wao wanaoamini haya,ubongo wao bado ni wa minyoo.Si munasema tulikuwa minyoo?basi nyie hamja-evolve bado.Mko steji za mwanzoni kabisa.Ubongo wenu bado wa minyoo,akili zenu za Sokwe,jinsia zenu nanihii,na munatuharibia mazingira duniani kwa kupandikiza watu imani na tabia zisizo za kibinadamu,zinazowafanya wawe hostile na kuleta chaos wanamoishi.

Unapomwambia mtu alikuwa mnyoo na sokwe,akaamini hivyo,usitegemee tabia za kibinadamu toka kwake.

Unapomwambia mtu,kuwa mti ni bora kuliko yeye,usitegemee kuwa unatengeneza mtunzaji mti,bali mharibifu wa mti.

Unapomwambia mtoto wa kiume eti mwanzo alikuwa mwanamke,jua kwamba deep down his brain atajihesabu jike-dume.

Poisonous teachings.Mmeijaza dunia na mafundisho ya kibabeli.

Watz wenzangu achaneni na upuuzi huu.

Kwanza hiyo sayansi yenyewe wanaipindisha for the sake of politics.

Politiki politiki politiki kila kona!

Tumechoka na matusi.!

Kweli kabisa maana hawa jamaa wamezidi mara utasikia tulikuwa dinosaurs
 
Tengua kauli mkuu ukisema anaanza jisia ya kike si kweli kajaribu kupitia embryology kidogo utakuja na jibu lingine mkuu
 
Kinachowasumbua hapa ni mfumo dume na wala siyo 'theory' yenyewe. Watu wanahisi wamedhalilishwa kwa kuambiwa wameanzia na papuchi. Lakini ukweli ndivyo ulivyo. Ingesemwa kwamba wote huanzia na 'male form' wala kusingekuwa na kadhia yote hii. Kwahiyo hapa swala si sayansi au dhana yenyewe. Tatizo ni jinsi tunavyofikiri. Na sina neno jingine zaidi ya kuuita huu ni umburula tu. Tuna safari ndefu sana kuhusu swala zima la jinsi ya kufikiri.

Inafahamika katika science kwamba yai la mwanamke linabeba X Chromosomes,na sperm inabeba either X au Y chromosome.Kwa maana nyingine sperm ina aina mbili za chromosomes,X na Y,ilhali yai lina only X chromosome.

Sasa hii "Y" ndio inahusika na kuleta male fetus.

How?Kama sperm ikitoa Y chromosome,wakati inaungana na yai(ambalo lina X tu),then chromosomal combination inakuwa XY,ambayo basically ndio husababisha male fetus.

Kama sperm ikitoa X chromosome wakati wa kuungana na yai,then chromosomal combination inakuwa XX,ambayo basically husababisha female fetus.

HATA HIVYO,ili fetus iweze kuwa male,ni lazima kama tulivyoona,chromosomal combination iwe na Y chromosome,(XY),LAKINI PIA,lazima kuwe na stimulation toka kwa androgens(certain type of hormones),ambazo zinastimulate Y kudevelop male features na anti-mullerian hormones (AMH) ambazo zinazuia X chromosome kudevelop female features,na hivyo XY combination kudevelop into male external genitalia(maumbile ya kiume).

Kama combination ni XX,hapo fetus,kwa msaada wa hormones(estrogens) za mama zilizomo kwenye ile martenal environment ndani ya tumbo la uzazi,itadevelop into female fetus.

UTATA:Kinachosababisha baadhi ya scientists hasa waumini wa feminism waseme kuwa human fetus katika early stages huwa female ni hiki;
Inapotokea ile XY combination inayosababisha male fetus haipati androgens za kutosha kuistimulate Y,then ile X chromosome yake inaendelea kudevelop yenyewe into female fetus.Scenario hii husababisha watu waone kuwa fetus kwa asili ni female,hadi pale kunapokuwa na interference ya androgens ndio male fetus inatokea,na bila hizo hormones basi regardless of chromosomal combination(XX au XY),fetus inadevelop kuwa female.

Si sahihi kusema hivyo,kwa sababu,hata hiyo X chromosome inakuwa stimulated na hormones za mama ili kudevelp into female fetus,hivyo,in the absence of all hormones,fetus haiwezi kudevelop either type of genitalia,be it male or female.

Kwa kuwa jinsia ya fetus at early stages inajulikana kwa kutazama chromosomal combination,hauwezi kusema fetus ni female wakati chromosomal structure yake inacontain Y chromosome.

Development ya XY into female fetus in the absence of androgens haihalalishi kusema basically fetus ni female,kwa sababu Y haihusiki,bali inakosa sapoti ya hormones,wakati X kutokana na nature yake ya kuwa kubwa,strong na inayodumu kwa muda mrefu kuliko Y,inakuwa rahisi kupata msaada wa hormones za mama na kudevelop female fetus.

Mpaka fetus ipate hormonal stimulation na kudevelop external genitalia,hauwezi kujua kama fetus hiyo itakuwa male au fermale katika hatua za mwanzo,isipokuwa kwa kutazama tu chromosomal combination,ambazo ni either male(XY) au female(XX).

Na hivyo basi,fetus at early stages,inakuwa proto-structure ambayo inaweza kuwa either male or female,na huwezi kutambua itafuata mkondo gani mpaka baada ya wiki 7 tangu mimba itungwe.

Hence,it's fair to say,kwenye hatua za mwanzo,fetus ni asexual,(neutral),NOT FEMALE.

Ukitazama hiyo link aliyotoa mleta mada,utaona kuwa huyo mwandishi amejikita zaidi kwenye mambo ya psychobiology,akitumia biological theories kuwapa watu imani fulani.Amegusia science kidogo kwenye paragraph ya kwanza,but the rest anajaribu kujenga hoja ya usawa wa mwanaume na mwanamke basing on biological theory aliyoiandika katika paragraph ya kwanza,bila kutazama uhalisia na ukweli wa mambo juu ya dhana husika.

Ndio maana nikasema kwenye ile post yangu ya kwanza,hii ni politiki tu.

Sina shida na mleta mada,yeye katuletea chakula mezani,kama ni kizuri au kibaya,it's up to us,walaji na mpishi.

So,you can see mkuu,tunaokataa hiyo theory hatuendeshwi na tamaduni za mfumo dume,bali scientific facts nyingine ambazo mpishi wa habari ameziacha,and seemingly to me,with a certain motive.Angalia post za watu humu,wengi wamegusia hayo mambo ya X na Y,so wana hoja za kisayansi,sio emotions au umburula kama usemavyo,isipokuwa tu haya mambo ya sayansi huwa yanahitaji maelezo mengi ambayo wakati mwingine watu hawana muda wa kukesha kwenye simu au computer wakiyaandika,doesn't mean they dont know,but they dont have enough time to explain.
 
Back
Top Bottom