Unamaanisha nn mkuu kwahiyo hata kwa mwezi mmoja inaweza kuanza kuonekana
Nahisi sikulieleza kwa kirefu, hapa naomba nieleweke naongelea mimba ambayo inaonekana kwa Macho , habari ya kusema mtu anajifungua bila watu kufahamu kuwa alikuwa na mimba cjaeleza hivo mimiSoma vizuri mkuu afu urudi upya. Ila nashukuru kwa mawazo yako pia
Wapo wa hivyo.....Ina tegemea maana kuna mama mmoja tunafanya nae kazi alitoka kazini kesho yake tunasikia kajifungua!!! Kila mtu alishangaa [emoji23] 7bu hakuwa na tumbo la kuonekana.
Sasa mkuu unajibiwa inategemea mtu na mtu, umekomaa kubisha, sjui huelewi nini!!!!!!Nieleweni vizuri ndugu " hapa siongelei mtu ambaye mimba yake haionekani ,,, bali naongelea mwanamke ambaye mimba yake imeanza kuonekana I