dalloboy
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 314
- 246
Habarini ndugu zangu,
Nina imani hapa nitaweza kupata majibu ya kuridhisha.
Hivi mwanamke anapokuwa na mimba ni miezi mingapi ambayo itachukuwa mpaka kuanza kuonekana machoni mwa watu. (hapa namaanisha yaani hata mtu yeyote yule atakae kutananae barabarani basi anajua kabisa huyu ke ana mimba). Ikumbukwe pia hapa naongelea wamama ambao wameshazaa na wenye matumbo makubwa kiasi.
Asanteni