Mimba inachukua muda gani tumbo kuonekana?

Mimba inachukua muda gani tumbo kuonekana?

dalloboy

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
314
Reaction score
246
Habarini ndugu zangu,

Nina imani hapa nitaweza kupata majibu ya kuridhisha.

Hivi mwanamke anapokuwa na mimba ni miezi mingapi ambayo itachukuwa mpaka kuanza kuonekana machoni mwa watu. (hapa namaanisha yaani hata mtu yeyote yule atakae kutananae barabarani basi anajua kabisa huyu ke ana mimba). Ikumbukwe pia hapa naongelea wamama ambao wameshazaa na wenye matumbo makubwa kiasi.

Asanteni
 
Kama wife ana mimba huo ndio wakati muafaka wa kufanya utafiti wa kisayansi ili ujue ni lini dalili za wazi zinaanza kuonekana (vuta subira tu mkuu) au una wasiwasi umeingizwa cho cha kike mkuu mwezi wa nne huu kitu hakionekani...(jokes). By the way ngoja wataalamu waje
 
Ina tegemea maana kuna mama mmoja tunafanya nae kazi alitoka kazini kesho yake tunasikia kajifungua!!! Kila mtu alishangaa [emoji23] 7bu hakuwa na tumbo la kuonekana.
 
Ina tegemea maana kuna mama mmoja tunafanya nae kazi alitoka kazini kesho yake tunasikia kajifungua!!! Kila mtu alishangaa [emoji23] 7bu hakuwa na tumbo la kuonekana.
Soma vizuri mkuu afu urudi upya. Ila nashukuru kwa mawazo yako pia
 
Soma vizuri mkuu afu urudi upya. Ila nashukuru kwa mawazo yako pia
Nahisi sikulieleza kwa kirefu, hapa naomba nieleweke naongelea mimba ambayo inaonekana kwa Macho , habari ya kusema mtu anajifungua bila watu kufahamu kuwa alikuwa na mimba cjaeleza hivo mimi
 
Ina tegemea maana kuna mama mmoja tunafanya nae kazi alitoka kazini kesho yake tunasikia kajifungua!!! Kila mtu alishangaa [emoji23] 7bu hakuwa na tumbo la kuonekana.
Wapo wa hivyo.....

Kuna dada mmoja unasikia kajifungua
 
Nieleweni vizuri ndugu " hapa siongelei mtu ambaye mimba yake haionekani ,,, bali naongelea mwanamke ambaye mimba yake imeanza kuonekana I
 
Mods mnakosea sana kubadili kichwa cha habari ,, huwezi jua mtu anamaanisha nini... Tafadhalini sana naomba muheshimu hisia zetu
 
Nieleweni vizuri ndugu " hapa siongelei mtu ambaye mimba yake haionekani ,,, bali naongelea mwanamke ambaye mimba yake imeanza kuonekana I
Sasa mkuu unajibiwa inategemea mtu na mtu, umekomaa kubisha, sjui huelewi nini!!!!!!

Yaani ni kwamba kuna watu hata miezi saba inafika tumbo flat, wengine mitatu tu tayari linaonekana.sasa wa kwako watu watatabiri vip wakati ndio anazaa mawewe kwa mara ya kwanza, hajawahi kubeba yoyote ya mwana jf kwambw awe anajulikana.
 
Inategemea na mwili wa mtu hasa kama sie wenye miili mikubwa kumgundua mtu mapema ni kaz ikianza kuonekana ujue hapo naenda miez saba
 
Back
Top Bottom