khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
Very true....brighted ovumUsiogope dada ni kitu cha kawaida sana na ipo kibiologia zaidi. Wakati ulikutana na mwenza wako mbegu zake hazikuweza kufertilize za kwako kwa kuwa zako hazikupevuka vizuri. Kwa hiyo kilichopo hapo ni empty sac na baada ya kusafishwa itabidi upumzike baada ya mwezi 6 ndo uweze kutafuta mimba tena. Pole sana ila usiogope.