Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
- Thread starter
-
- #41
Vinapatakana wapi kwa faida ya wenginePole sana...lakini waweza tumia virutubisho vya fur seal oil na phytoestrogen vitakusaidia kushika mimba kwa haraka sana na kuimarisha mfumo wako wa uzazi...wasiliana nasi kwa namba 0653299934
Duuh! Pole sana!
Asante sana kwa ushauri tatizo ni hizo gharama nachosubiria kwa sasa ni kufanya hicho kipimo cha HSG tena ili kuona je huo mrija bado umeziba? Na kitu ambacho sikielewi mwanamke mirija ikiziba mzunguko wake (kwa maana ya period) anapata kama kawaida?
Asante sana kaka kwa msaada wako na ushauri Mungu atuongoze katika mtihani huuMimi sio daktari lakini kuziba kwa mirija hakuathiri mzunguko wa mwanamke kwakuwa mke wangu hajawahi poteza mzunguko wake hata mara moja. Nadhani hormones imbalance ndizo zinazosababisha mzunguko kubadilika. Pole sana nakutakia kila la kheri na ukitaka kunishirikisha mimi kikwelikweli katika aina yeyote ya msaada niambie kwakuwa nimeuishi uchungu ulionao kwa miaka kumi tano na siku kumi na tano. Allah atakuafu mtegemee yeye. Kila la kheri katika kila la kheri mnalokusudia kilifanya na Allah awafanyie wepesi juu ya hayo mnayokusudia kufanya na amapatie mama huyo ustaamilivu na wepesi juu ya shida zake. Amen.
Isije ikawa hiyo wanaita endometriosisNdugu wana JF doctor nimekuja kuomba ushauri nipo ndani ya ndoa mwaka wa nne nimekuwa nahangaikia kutafuta mtoto bila mafanikio.
Mke wangu amewahi kushika mimba kama Mara tatu zote zinatoka ndani ya mwezi mmoja tu nimehangaika nilianzia hospital ya kumpeleka wife vipimo vyote vilikuwa vipo sawa kama hormone, ultra sound, na vinginevyo kasoro kipimo kinachoitwa HSG.
NikampelakaRecency Hospital inaonesha mrija mmoja umeziba kwa ushauri wa doctor akasema mmoja anaweza kupata mtoto sasa tatizo ni muda mrefu sasa hata ile kushuka tu imekuwa tatizo.
Nimeanza tena haraka upya vipimo vipimo vyote havina mabadiriko kwani hata nimepima nipo vizuri isipokuwa wife alifanya kipimo flan pale TMJ ikaonyesha ana virus flan vinaitwa Rubbela akapatiwa dawa ila tatizo bado ujauzito haupatikani nimeshauriwa akafanye tena HSG hapo ndio pananichanganya maana mzunguko wake Upo sawa na haubadiriki badiriki sema akiwa period ndio unaweza kumuonea huruma tumbo kuuma.
Nimeshawahi kujaribu kwa Dr Mwaka ila sikuona mafanikio zaidi ya kuwa napewa hadithi ambazo hazina uhakika.
Wewe umenichekesha kweli. Umenikumbusha kijana mmoja sijui ni teja akawa anamwambia mwenzie," Huyo mtoto bonge hivyo kumzaa kazi sio ndogo, lazima upige mabao mawili"Dogo chalaza hiyo 'k' mpaka ibadirike rangi iwe nyekundu, mimba itaingia tu sasa maana hakuna namna!!
Huo ndiyo ukweliduh sasa sijui itakuwa ni nini? au mkeo alichoropoa sana akiwa kijana uwiii mi sipo
Na ukichoropoa ukija kubeba mimba ikifika mwezi uliochoropoa na siku mimba inatoka. Hii huwasumbua wadada wengi waliochoropoa. Mleta mada ajaribu na kumwomba MunguHuo ndiyo ukweli
Proved mirija yote imeziba kwa mujibu wa kipimo cha HSG nilichoambiwa ni operation ndio kinachofata hakuna njia nyingine hapa Mawazo tu yananisakamapoleni sana kwa changamoto zinazowakabili. Ni vyema mngefanya vipimo vya kutosha wote wawili ikiwemo hormones. Je alishawahi kupima hormones muhimu kipindi cha ujauzito?
mie sio dr ila uzoefu unaonesha kuwa kama progesterone level zipo chini sana kwa mjamzito mimba kutoka ni rahisi...hii inaandaa uterus kwa ujauzito..inasaidia lining na hata kusapoti fetus mpaka pale placenta itapo-takeover. Je kipindi mkeo mjamzito lishawahi pima hizo hormones? ikiwemo estrogen na progrestone?
kuwa na mrija mmoja mke anaweza pata ujauzito ingawa kuna changamoto.
kama mna uwezo mnaweza fanya ivf...(but still itafanikiwa zaidi pale mtakapojua chanzo cha mimba zenu kutoka) hivyo uchunguzi wa kina kwa mkeo unahitajika.
ila kubwa kuliko lote ni kumtanguliza Mungu, yeye atafanya njia
nilipatwa na shida hiyo ila baada ya kumuona Dr. Kapona mambo yameenda fresh saivi nina vidume viwili,alikuwa hapo tumaini hospital,akaenda THI saivi ana hospitali yake Chanika buyuni jaribu kupita pita huko mkuuNdugu wana JF doctor nimekuja kuomba ushauri nipo ndani ya ndoa mwaka wa nne nimekuwa nahangaikia kutafuta mtoto bila mafanikio.
Mke wangu amewahi kushika mimba kama Mara tatu zote zinatoka ndani ya mwezi mmoja tu nimehangaika nilianzia hospital ya kumpeleka wife vipimo vyote vilikuwa vipo sawa kama hormone, ultra sound, na vinginevyo kasoro kipimo kinachoitwa HSG.
NikampelakaRecency Hospital inaonesha mrija mmoja umeziba kwa ushauri wa doctor akasema mmoja anaweza kupata mtoto sasa tatizo ni muda mrefu sasa hata ile kushuka tu imekuwa tatizo.
Nimeanza tena haraka upya vipimo vipimo vyote havina mabadiriko kwani hata nimepima nipo vizuri isipokuwa wife alifanya kipimo flan pale TMJ ikaonyesha ana virus flan vinaitwa Rubbela akapatiwa dawa ila tatizo bado ujauzito haupatikani nimeshauriwa akafanye tena HSG hapo ndio pananichanganya maana mzunguko wake Upo sawa na haubadiriki badiriki sema akiwa period ndio unaweza kumuonea huruma tumbo kuuma.
Nimeshawahi kujaribu kwa Dr Mwaka ila sikuona mafanikio zaidi ya kuwa napewa hadithi ambazo hazina uhakika.
Proved mirija yote imeziba kwa mujibu wa kipimo cha HSG nilichoambiwa ni operation ndio kinachofata hakuna njia nyingine hapa Mawazo tu yananisakama