Mimba ya dakika 30

Dah, pale wanaume wa dar wanapokula chipsi nyingi, haya ndo matokeo yake KUPATWA KWA MIMBA
 
Mbuzi kwenye gunia dem mjanja uyo mimba ya watu hiyo ila atakuwa anatafuta Wa kumkabidhi ukilegea tuuu unacho
 
ukute manz alilamba na kunyonya vitu kibao akatapika alaf anasema mimba
 
Mbuzi kwenye gunia dem mjanja uyo mimba ya watu hiyo ila atakuwa anatafuta Wa kumkabidhi ukilegea tuuu unacho
Hapa usitoe hitimisho!!! Toa majibu ya kisayansi!! Mf.miaka ya nyuma kusikia binti kapata mimba na kuzaa akiwa na miaka chini ya kumi ilikua ajabu now tunasikia wapo!! Sababu huwa znawekwa kua ni mabadiliko ya mwili kutokana na Chakula wanavyotumia!!!
 
Mmhhhhh 30 DKK na kutapika anaanza,basi Kama ndio sayansi ata mimba zitakuwa hazikai miez 9[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Mmhhhhh 30 DKK na kutapika anaanza,basi Kama ndio sayansi ata mimba zitakuwa hazikai miez 9[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Huyu ni wewe huyu!!!
 
Na mpigwe sana na walimu,watu wenye akili pumba kama zako hko mashuleni
 
Walikua wapenzi bila mgegedo!! Juzi ndio jamaa kafanikiwa kumvua Pichu!!!!
Kwa maana hio huyo demu alikuwa akigegedwa na mwengine lakini katoa tunda kwa msela wako ili ambebeshe mtoto wa mwanaume mwenziwe. Huyo demu anaonekana hata 20s hakufika(akili fupi).
 
Mkuu tuambie elimu yako
Halafu ndiyo nikupe jibu
 
Hakuna kitu kama hicho itakuwa huo ujauzito alikuja nao huko alikotoka
 
Walikua wapenzi bila mgegedo!! Juzi ndio jamaa kafanikiwa kumvua Pichu!!!!
Pole sana km ni ww. Mm nilifikiri huenda jamaa alikuwa anapiga tangia siku nyingi kwahiyo kwa kauli hiyo ningeamini huenda mwanamke aliogopa kumuambia jamaa.
Kwa daktari mtapata jibu lkn vipimo kutambua mimba ya nani lbda usibiri mtoto azaliwe upime DNA.
Dk atakuambia muda wa mimba. Yaan mkuu siku hiyo hiyo unapiga na mwanamke anakuambia ana mimba? Tena na dalili zinaonesha.
Hongera sana kijana. Wakipatakana vijana km ww 100 tu tz hakutakuwepo na single mother kbsa.

Nakushauri lea mimba na mama yake mpaka mtoto atakapozaliwa na uweke ndani kbsa. Usisikilize maneno ya watu wanasema nn.
KITANDA HAKIZAI HARAMU. Weka ndani uendelee kula papuchi kwa raha zako


Kumbe ukikosa papuchi siku nyingi. Siku ukipata akili huwa zinapingua kbsa. Hii papuchi bana ndiyo maana inauzwa.


MAWAZO MCHANGANYIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…