Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah, pale wanaume wa dar wanapokula chipsi nyingi, haya ndo matokeo yake KUPATWA KWA MIMBAHabari zenu wadau!!
Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!
Mimi kwangu hii ni mpya... Sijawahi sikiaLakn ww ka mwanamama unalizungumziaje!!!
Hapa usitoe hitimisho!!! Toa majibu ya kisayansi!! Mf.miaka ya nyuma kusikia binti kapata mimba na kuzaa akiwa na miaka chini ya kumi ilikua ajabu now tunasikia wapo!! Sababu huwa znawekwa kua ni mabadiliko ya mwili kutokana na Chakula wanavyotumia!!!Mbuzi kwenye gunia dem mjanja uyo mimba ya watu hiyo ila atakuwa anatafuta Wa kumkabidhi ukilegea tuuu unacho
Mmhhhhh 30 DKK na kutapika anaanza,basi Kama ndio sayansi ata mimba zitakuwa hazikai miez 9[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hapa usitoe hitimisho!!! Toa majibu ya kisayansi!! Mf.miaka ya nyuma kusikia binti kapata mimba na kuzaa akiwa na miaka chini ya kumi ilikua ajabu now tunasikia wapo!! Sababu huwa znawekwa kua ni mabadiliko ya mwili kutokana na Chakula wanavyotumia!!!
Ndio mara yao ya kwanza kugegedana au?Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!!
Huyu ni wewe huyu!!!Habari zenu wadau!!
Kuna Binti mmoja!!mpenzi wa Rafiki yangu kipenzi!! Jana waligegedana saana cha ajabu ambacho jamaa alichonieleza ni kwamba baada ya kama Nusu SAA Bi Dada akaanza kutapika na kichefu chefu cha kufa MTU et Binti anadai ana mimba ya jamaa hata lisaa halijaisha!!! Alivyonielezea nikaona isiwe taabu ngoja niingie jukwaa la wajuvi wa mambo waniongezee maarifa!! Inawezekana kweli? Hapo imekaaje Wadau!! Naombeni wajuvi na wajuzi juu ya hili mtusaidie!!!
Ahsanten!!
Kwa maana hio huyo demu alikuwa akigegedwa na mwengine lakini katoa tunda kwa msela wako ili ambebeshe mtoto wa mwanaume mwenziwe. Huyo demu anaonekana hata 20s hakufika(akili fupi).Walikua wapenzi bila mgegedo!! Juzi ndio jamaa kafanikiwa kumvua Pichu!!!!
Mkuu tuambie elimu yakoHapa usitoe hitimisho!!! Toa majibu ya kisayansi!! Mf.miaka ya nyuma kusikia binti kapata mimba na kuzaa akiwa na miaka chini ya kumi ilikua ajabu now tunasikia wapo!! Sababu huwa znawekwa kua ni mabadiliko ya mwili kutokana na Chakula wanavyotumia!!!
Pole sana km ni ww. Mm nilifikiri huenda jamaa alikuwa anapiga tangia siku nyingi kwahiyo kwa kauli hiyo ningeamini huenda mwanamke aliogopa kumuambia jamaa.Walikua wapenzi bila mgegedo!! Juzi ndio jamaa kafanikiwa kumvua Pichu!!!!