Umeyataka mwenyewe.Sabakher Wadau;
Kuna Mdada Alikuwa Anafanya Usaf Kazn Kwe2! Asa Kwa Bahat Mbaya Nikapitiwa na Shetan!! Nikamla!
Akapata mimba ina miez miwil sasa tangu wiki ya jana! Ananisumbua Sana Kwa Kusingizia Mimba!! J3 nimeenda kumuona Akaniambia X Mtoto Anataka Umuimbie! Dah ! Bas Kidume Nikabana Pua Moja Nikaimba Bado Ya Harmonize Nikauchuna!! Sasa Ya Leo Ndo Mataka Kanitext Eti Mimba Inataka Simu Yenye Whatsapp!! Duh! Nikaona Huu Ujinga Nikamjibu Kama Vp Nihamishie Mimba Yangu!! Naona Majukumu Yamekua Meng! Et Wadau Nimekosea?
nachukia watu wanaosema mimba ni bahati mbaya damn you ukimwi ukikupata ndo utajuaSabakher Wadau;
Kuna Mdada Alikuwa Anafanya Usaf Kazn Kwe2! Asa Kwa Bahat Mbaya Nikapitiwa na Shetan!! Nikamla!
Akapata mimba ina miez miwil sasa tangu wiki ya jana! Ananisumbua Sana Kwa Kusingizia Mimba!! J3 nimeenda kumuona Akaniambia X Mtoto Anataka Umuimbie! Dah ! Bas Kidume Nikabana Pua Moja Nikaimba Bado Ya Harmonize Nikauchuna!! Sasa Ya Leo Ndo Mataka Kanitext Eti Mimba Inataka Simu Yenye Whatsapp!! Duh! Nikaona Huu Ujinga Nikamjibu Kama Vp Nihamishie Mimba Yangu!! Naona Majukumu Yamekua Meng! Et Wadau Nimekosea?
Kweli nimekubali huyu jamaa ni popomaEwe mwanaJF kabla haujachangia post yoyote ya popoma wetu mzama chumvini ni vizuri ujue baadhi ya post alizowahi kutupia hapa jf.ππ
1. Dimond anakalibia kuvunja ndoa yangu.
Humu alikuwa analialia juu ya tabia ya mke wake (ambaye nadhani hayupo) kumuweka dimond FB na kwny whatsapp dp yakeπ
2. Kwanini ukienda haja kubwa na ndogo inatoka?
Hii inajielezea, kumbuka huyu ni mtu anayetuaminisha kuwa ameoa na anamudu familiaπ³
3. Ushauri: anayefuga mbwa anipe njia ya kumzuia mbwa dume asitoroke kufuata mbwa jike.
Bado perception ni ya kingonongono tuπ‘
4. Mimba ya mchepuko inanitesa.
Mume huyu, analialia mke wake kumuweka dimond dp kumbe yeye anachepukaπ±
5. Nauza vifaa vya video shooting.
Post ambayo mie ndio niliiona kuwa ina maana kidoogo.
6. Kwanini hamtaki kununua vifaa vyangu vya video shooting?!
Akaanza kulialia tena, braza! Usawa wa maguu huu pesa mgumu usiforce mambo.
7. Jux ni mfano wa mwanaume asiyefaa kuigwa.
Humu anamlaumu jux kwa kumuacha jacki sijui (yule aliyekamatwa na heroin kule china) na kuanzisha uhusiano na vanessa mdee, bila kujua hayo ni maamuzi binafsi ya mtu.
Kwa post nyingine za mzama chumvini fanya kuifungua profile yake na ujionee maajabu, hiyo itakupa scope kubwa ya understanding pale utakapokuwa unacomment katika post zake.
Rai yangu kwa bwana mzama chumvini, ubongo una tabia moja unique sana, ni kama computer system, rubbish in rubbish out, punguza kuujaza ubongo wako upuuzi, hiyo itakusaidia kutokutoa upuuzi continously na katika kiwango kikubwa kama ambacho unacho.
Dedicate muda wako katika pursuit of pure knowledge na mambo mengine productive.
Afadhali umenisaidia kumfahamuEwe mwanaJF kabla haujachangia post yoyote ya popoma wetu mzama chumvini ni vizuri ujue baadhi ya post alizowahi kutupia hapa jf.ππ