sizzya007
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 771
- 2,416
sizzya007 naona senior member umekuja tena kutafuta kick Lol!! Nitapost nipendavyo kwan we dare to talk openly!! Atakaye comment gud! Asiye comment gud! Coz comment haipunguz mshaara wangu
Wanaonijua wananijua mzama chumvini, mie ni member wa muda mrefu sana humu jf, way back toka 2010. Usenior member usikufanye ushangae! Ww ni mgeni humu kuliko, ninaingia na kutoka mara kwa mara mdogo wangu!
Ila argument hapa ni jaribu kupost vitu vyenye mantiki, tabia ya kupost upuuzi haikuongezei ww binafsi jambo lolote zuri, kuna vitu vingi vya msingi vya kuongelea!! (thou haukatazwi kuongea ujinga if you wish, but the question is kwann uongee ujinga muda wote na kupost habari za kutungatunga ambazo ni contrary na moral standards za kitanzania?)
Kama ni mtu wa kujiongeza utakuwa umeipata key concept ninayojaribu kukupa, ila kama bado mtoto mdogo hautanielewa.
And one last thing! Kama unataka uplatinum member ebu lipia tu JF, 30k tu. Utaupata huo uplatinum member unaoutafuta kuliko kujishushia heshima bureee🙄